Amani iwe nanyi
Ukiutafakari uchepukaji kwa makini ni reflection ya maendeleo, je uwekwe kwenye criteria za kupima maendeleo ya kaya?
Baada ya kujiuliza hilo swala, mchakato wa uchepukaji una gharama kwenye household income and expenditure. Je hakuna sababu za ku establish total cost incurred...