Kwa Graduate Peke ake, Ni kiasi cha pesa kilitosha ku-finance Elimu yako ya Chuo kikuu, Je Does it worth it?

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
6,498
Reaction score
14,946
Habari Wakuu.

Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu.

Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa, kama makato ya mishahara, na hesabu zangu zinaonesha makato ya mishahara peke itanichukua miaka 5 kumaliza Deni hili.

Nikirudi kwenye dhima ya kua na hii maada, Sijutii kabisa kupata huu mkopo, kwasababu hakukua na namna nyingine ya kusoma, na kwa upande wa elimu kama elimu nilio ipata chuo, bado naona it still worth 20million, kwasababu haijawai nilaza njaa hata siku moja, Na bado nina ndoto ya ku explore mambo memgi kutokana na maarifa niliyo pata chuoni, Yaani hata 30% sijaitumia.

Vipi wewe, How much was enough to Finance Your College degree, And how do you evaluate yourself, Does it worth it au Serikali/Wazazi walibeti vibaya?
 
Attachments

  • Screenshot_20260130-231045~3.jpg
    Screenshot_20260130-231045~3.jpg
    73.4 KB · Views: 27
Habari Wakuu.

Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu.

Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa, kama makato ya mishahara, na hesabu zangu zinaonesha makato ya mishahara peke itanichukua miaka 5 kumaliza Deni hili.

Nikirudi kwenye dhima ya kua na hii maada, Sijutii kabisa kupata huu mkopo, kwasababu hakukua na namna nyingine ya kusoma, na kwa upande wa elimu kama elimu nilio ipata chuo, bado naona it still worth 20million, kwasababu haijawai nilaza njaa hata siku moja, Na bado nina ndoto ya ku explore mambo memgi kutokana na maarifa niliyo pata chuoni, Yaani hata 30% sijaitumia.

Vipi wewe, How much was enough to Finance Your College degree, And how do you evaluate yourself, Does it worth it au Serikali/Wazazi walibeti vibaya?
Nilikopeshwa million 10 nitalipa mil 15 japo sina uhakika kama ntalipa, binafsi haikukidhi mahitaji yangu.. so it doesn’t worth it😐
 
😂😂😂😂😂 ila wakati wa kusaini raha eeh??
Nimekumbuka walivyokua wanaturingishia na pesa zao zikisha soma kwa acc zao za bank.
Lol

Siku zoote kutumia hela za mkopo ni raha sana, Kulioa ndo Msoto.

Kuna wakati tulikua tunahisi hatutakuja kulipa hivi 😁
 
Back
Top Bottom