Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia.
Kwa...
WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu.
(chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.)
Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️
Much respect to us🤛
Wakuu habari.
Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!.
Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa Mwanza nikaona atanifaa.
Basi bhana Leo mchana Fulani nimejibeba Hadi nikaenda kuonana na huyo Bidada...
Wanajukwaa la Mitindo.
Kiatu kikali kinabadirisha muonekano wako kabisa. Sasa kwakua kila mtu ana fleva yake ya kiatu, unaweza share ulichovaa leo wengine tukaona labda tunaweza pata idea mpya ya viatu.
Ikiwa siku ya kazi, unavaa casual or una meeting na maboss unavaeje?
Au mwamba wa site...
Basi tu fashion ya baadhi ya viatu inakufanya usivae soksi ila ukweli usemwe viatu bila soksi Sawa na suruali bila chupi.. Ukivivua lazima tu viteme na pia sio salama unaweza Kupata fangasi miguuni.wengi naona hata siku hizi wanaovaa sendo wanaovaa na soksi.
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko!
Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa?
Karibuni tujadili utani!
Mpira ni anasa kweli kweliii.
Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki.
Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC.
Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu huu
Msimu uliopita hadi ligi inatamatika wachezaji wawili wa Yanga na Simba ambapo ni Fistoni Mayele...
Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa.
Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu
Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa...
Karibu Afrika.
Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.
Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.
Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty.
Makolo kilio kimezidi
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.
Both kwa ladies and gentlemen.
Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .
Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya.
Hata kama kiatu ni cha bei chee...
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana
Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy:
Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa Italy kupitia Azam max, niseme tu pongezi ziwaendee Azam kwa kutuwezesha diasporas tulioko huku...
Kina reflect vizuri sana kwenye jua vile vya kwetu sijui huwa vinakuwa polished na kiwi?au mbao za mninga?
anyway sakho karudi leo kambini lakini jana pia alicheza vs pyramids ambapo simba ilipigwa magoli 12-0
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika.
Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana
Vans zipo za aina nyingi lakini binafsi natafuta kama hiki rangi iwe nyeusi au kijani kama hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.