kibali

The Kibali Gold Mine is a combined open pit and underground gold mine in the Haut-Uélé province of the northeast Democratic Republic of the Congo. By area, it is one of the largest in Africa. The mine is named for the nearby Kibali River.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Marufuku kusafirisha Mahindi kutoka Tanzania bila kibali cha BRELA

    Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
  2. mirindimo

    Kuna kibali cha kutembea na gari bila plate number kama Diamond Platnumz afanyavyo?

  3. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Kuna hili suala la kuwa mtu akipata ajali iwe ya kupigwa au ajali ya aina yoyote ile, inabidi apate kibali toka Polisi ndio kisha atibiwe je hii ipo sawa? Kwanini inakuwa hivi? Nilijaribu kuuliza sababu ni nini na jibu nalopewa ni kwa sababu za kiusalama, sasa sijui kama ni haki kumwacha mtu...
  4. BigTall

    Utahitaji Kibali cha TCRA Kuweza Kuishitaki TCRA Mahakamani

    Utahitaji kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ili kuishitaki TCRA mahakamani kwa mujibu wa kifungu namba 68, kifungu kidogo namba mbili, cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010. Sheria hii ni moja kati ya sheria zinazolalamikiwa sana kwa kuminya uhuru...
  5. Lady Whistledown

    Chad yapiga marufuku mabinti wadogo kutoka nje ya nchi bila kibali cha wazazi

    Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani Aidha katazo hilo linapiga marufuku mashirika ya ndege na mashirika ya uchukuzi kuchukua wasichana wadogo...
  6. Rashda Zunde

    Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

    Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii. Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo...
  7. Zakaria Maseke

    Mawakili wa Serikali Hawaruhusiwi Kufanya Kazi za Uwakili wa Kujitegemea Isipokuwa kwa Kibali Maalum

    Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths? Je, Mawakili wa Serikali au Wanasheria walio katika utumishi wa umma wanaruhusiwa kusajiliwa na kuingizwa katika Daftari la...
  8. C

    Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  9. I am Groot

    STARLINK yapata kibali Nigeria na Mozambiki.

    Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za kwanza barani Africa kutumia huduma hii. C.E.O wa starlink bwana Elon Musk alitoa taarifa hiyo ya...
  10. S

    Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Salaam wakuu Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi. Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili. Kama Kuna mtu ameshawahi kufanya hili au anafanya export hiyo naomba mrejesho wa gharama zake.
  11. K

    Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka). Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
  12. E

    Kampuni ya magari JN Star yapata kibali cha TBS

  13. fareed uziel

    Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Habari wakuu? Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi. Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
  14. msadapadasi

    Naomba ufafanuzi kuhusu kibali cha kutumia gari nchi jirani

    Wakuu naomba kuuliza Mimi ninaishi Mbeya. Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi kadhaa then narudisha. Msaada tafadhali
  15. Magazetini

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. 89N

    Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  17. Nyendo

    #COVID19 Kamishna Jenerali, Gerald Kusaya: Baadhi ya Watanzania waliomba kibali kwenda kutibiwa India na wakabeba madawa ya kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini India ilhali wakiwa wamebeba dawa za kulevya. Hata hivyo licha ya kutumia mbinu ya kupata vibali vya...
  18. Suley2019

    Tazama gari yenye uwezo wa kupaa. Imepewa kibali huko Slovakia

    Gari inayopaa yenye uwezo wa kuruka kwa zaidi ya futi 8,000 (sawa na mita 2,500) na kukimbia kwa kasi ya zaidi ya 100mph (sawa na km 160 kwa saa) imeidhinishwa na kupewa cheti cha kuiruhusu kufanya safari za angani na mamlaka ya Usafiri ya nchini Slovakia. Gari hiyo iliyoundwa na Prof.Stefan...
  19. K

    Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora. Licha ya malalamiko ya...
  20. Elitwege

    Prof. Adolf Mkenda baada ya kukemewa ameenda wapi?

    Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani tena je ameenda wapi? Sasa hivi kila kona anayeonekana ni Naibu Waziri Hussein Bashe tu.
Back
Top Bottom