kibamba

Kibamba is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 17,998.

View More On Wikipedia.org
  1. Nauza nyumba Kibamba

    Habari wakuu. Nyumba zipo nne ndani ya kiwanja kimoja Mtaa wa Undogi Tank la maji. Nyumba mbili zimepauliwa Nyumba mbili hazijapauliwa. Sqm 870 Hati ya wizarani. Location Kibamba njia panda ya shule Mtaa wa Undogi Tanki la maji. Km 3 kutoka Morogoro Road hadi kwenye nyumba...
  2. DAR: Kibamba ya Mnyika nao Watangaza kumuunga mkono Lissu

    https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_ Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja. Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR, #WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
  3. V

    Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

    Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
  4. LGE2024 Kibamba: Inadaiwa mtia nia ACT Wazalendo Kata ya Kwembe aenguliwa sababu ya kazi yake ya ujasiriamali!

    "Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa mjumbe 1 tu ambae aliandika kazi ni dereva." - Rahma Mwita kupitia ukurasa wake wa X
  5. M

    Nyumba inauzwa kibamba mwisho tzs. 60m...Eneo 1044 sqm

    Nyumba Inauzwa milioni 60 maongezi yapo Location📍IPO KIBAMBA NJIAPANDA YA SHULE -Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, Vyumba viwili ni master, dinning room, sitting room, kitchen na public Toilet Nyumba ipo 3Kms kutoka morogoro rd na ipo kwenye barabara ya mtaa (Hondogo) -Plot size Sqm 1044...
  6. E

    Plot4Sale Tunauza Viwanja Kibamba na Kiluvya

    Tunauza viwanja kibamba na kiluvya 1. Kibamba shule mita 20x20 > Tsh 12 2. Kiluvya kwa komba 20x20>Tsh 10 3. Kiluvya kwa sumaye 20×20 > Tsh 8 4. Kibaha maili moja sheli 20x20>Tsh 6 Piga simu 0699 243938
  7. LGE2024 Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

    Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
  8. LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  9. INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
  10. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  11. L

    Eneo - Kibamba- Kibwegere, Kiluvya

    Wakuu kwa Mil 3- 5 naweza pata kiwanja cha makazi kwa maeneo tajwa hapo juu ?
  12. Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  13. Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

    Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi. Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
  14. R

    Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

    1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena. 2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli...
  15. Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

    Basi la Mwendokasi limeteketea kwa moto usiku huu eneo la Kibamba mkoani Dar es Salaam.
  16. R

    Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema; "Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo...
  17. DAWASA Kibamba wakaazi wa Malamba mawili hatupati maji, tumewakosea nini?

    Licha ya kutumia gharama kubwa za kuvuta maji majumbani mwetu, WAKAZI WA MALAMBA MAWILI (zone 10) wamekuwa wakiishi kwenye mateso makubwa sana ya maji. Huduma hiyo haipatikani kabisa, wakati mwingine zaidi ya mwezi maji Huwa hayatoki. Unapowaailiana na injia wa maji na watendaji wamekuwa na...
  18. TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
  19. K

    TANROADS mnapata hela za kurudisha wakati huku Kibamba tuna lami chini ya asilimia 5 jimbo zima?

    Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa barabara zilizopo chini ya Tanroads, alafu inapatikana hela ya kurudi serikalini? Hii si ni dharau kweli...
  20. S

    Nataka kuhamia Kibamba naomba mwongozo

    Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji. Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…