kibamba

Kibamba is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 17,998.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

    Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini ,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko. Ule ukumbi...
  2. Z

    Pongezi kwa TARURA Manispaa ya Ubungo kwa kazi nzuri katika jimbo la Kibamba /Kiluvya Gogoni

    Leo tarehe 2/10/2022 nimepita maeneo ya Kiluvya Gogoni kuelekea kwa kawawa/pamoja na shule za sekondari hondogo nimekuta mabadiliko makubwa ya miundombinu, barabara imepigwa mkeka safi kabisa. Pongezi kwa viongozi lakini Pongezi nyingi kwa Rais Mama Samia kwa kuidhinisha mabilioni kwa TARURA...
  3. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
  4. K

    TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    TANROADS, kuweni na huruma aisee. Hivi huku kibamba mnajua mnamiliki barabara mbovu sana? Je kazi mliyopangiwa ya kuassess barabara na kupeleka mapendekezo kwa Mh Rais mliifanya? Ni lini mtaacha hii kwangua kwangua na kumwagilia maji barabara badala ya kutafuta suluhisho la kudumu? Kwa kweli...
  5. S

    Alama hizi za speed limit highway ya Ubungo hadi Kibamba zipo sahihi?

    Highway ya kuanzia Ubungo mataa hadi Kibaha ipo katika hatua za mwisho kukamilika. Ni barabara nzuri sana yenye upana na nafasi ya kutosha kupitisha idadi kubwa ya magari bila kusababisha usumbufu miongoni mwa watumiaji wa barabara hiyo Hata hivyo kuna hii kero ya alama za speed limit za 50kph...
  6. K

    Jimbo la Kibamba hivi TANROADS na TARURA zipo?

    Hivi hili jimbo liko Dar au nje ya Dar?! Make si kwa ubovu wa barabara. Jimbo zima lami ni changamoto. Kuna barabara zimetengwa kwa ajili ya TANROADS na zina connections nzuri sana ila kuzijenga sasa imekuwa changamoto. Mfano barabara inayotokea mbezi mwisho kuunganisha mpaka bunju kupitia...
  7. K

    Ile ahadi ya Mbunge wa Kibamba kutoka kwa Mh Rais ndo imeyeyuka?

    Nakumbuka wakati Mh Hayati Rais JPM (R.I.P) kipindi hicho anafungua stand ya Mbezi Lous alimuahidi Mh Mbunge wa Kibamba kuwa kutoka na sababu ya kwamba jimbo hili ndo linaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha lami yaani chi ya 5%., basi aliagiza timu iundwe na Tanroads pamoja na mbunge wapitie...
  8. Z

    Hongera DC Kheri James, tusaidie kutatua changamoto hizi Kibamba

    Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo. Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM. Wilaya ya Ubungo ni Miongoni mwa wilaya mpya katika Jiji la DSM na Makao yake...
  9. Magari Nusubei

    Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  10. K

    Jimbo la Kibamba, barabara ni mbovu mno. Wizara ya Ujenzi mtusaidie jamani

    Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana. Ebu cheki...
  11. K

    Waziri wa Fedha na Waziri wa Ujenzi, msijisahaulishe kuweka ahadi ya barabara za jimbo la Kibamba aliyotoa JPM (RIP) wakati akizindua stand ya mbezi

    Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza kushughulika na barabara za jimbo la Kibamba kwa maana ni jimbo pekee ndani ya Dar ambalo lina chini...
  12. J

    CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

    CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha. Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni...
  13. K

    Mbunge wangu wa Kibamba, changamkia fursa ya mheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo kabla ya bajeti

    Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana. Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
  14. J

    Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
  15. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  16. D

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
Back
Top Bottom