kibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. God over everything

    Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
  2. machafuko jr

    Kazi/ kibarua cha fundi mabomba (plumbing)

    Habari zenu wakuuu, Mimi ni muhitimu wa water supply chuo cha maji Dar es salaam. Pia continuous student wa water resources engineering degree hapa hapa chuo cha maji, tumepata rikizo ya mwezi mzima chuoni Naomba connection au kibalua au kazi kwenye sector ya plumbing kwasababu nipo vizuri sana...
  3. God over everything

    Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  4. B

    Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  5. Charlesnbundalah

    Natafuta kazi au kibarua chochote halali

    Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata. Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
  6. Muddy123

    Natafuta kazi au kibarua

    Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule Namba yangu ni 0693206150
  7. NetMaster

    Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

    Bado hawajamaliza, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
  8. T

    Juma Mgunda jiandae kupoteza kibarua chako endapo utaendelea kupanga kikosi kwa mujibu wa Matola

    Ahlan Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa...
  9. sky soldier

    Nini kilikufanya ukimbie kazi/kibarua chako cha zamani?

    Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80. Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno...
  10. The Sunk Cost Fallacy

    Bashungwa- " Tuko tayari kufia 'site' kuliko kumuangusha Rais". Huwa wanatamka haya Kwa kulinda Kibarua au Hofu tu?

    Wakuu tuendelee kuchapa Kazi.. Naomba kuuliza hivi kutamka maneno kama hayo inakuwa ni kuhofia kutumbuliwa au kuna kingine? Haya maneno yalikuwa yanatamkwa Sana kumpamba Jiwe sasa sijui kama na awamu hii inayafurahia.. Hizo lugha ni kuonyesha Utukufu kwa Binadamu badala ya Mungu. Tuwe na...
  11. R

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  12. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  13. AjeyTz

    Shule gani nzuri naweza mpeleka huyu mtoto?

    Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...
  14. Idugunde

    Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

    WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
  15. Cannabis

    Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  16. Elias K

    Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

    Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu. Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?! Ahsante.
  17. G

    Natafuta kazi hata kibarua

    Habari Madam/sir Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu. #Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo a) ninaumri wa miaka 24 b)Naishi gongo la mboto DSM c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes d) nina...
  18. DOTHRAK

    Nipo Tabora mjini nipe kibarua chochote halali nitafanya

    Ndio wakuu Mdogo wenu nipo Tabora huku Field, mambo magumu pesa sina naunga unga maisha, nipeni kazi yeyote ndugu zangu. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom