Amani iwe nasi Watu wa Mungu.
Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua.
Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi.
Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana.
Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6.
Mbarikiwe...