kibiti

The Kibiti lampeye (Lacustricola lacustris) is a species of fish in the family Poeciliidae. It is endemic to Tanzania. Its natural habitats are rivers and intermittent rivers.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi kudhibiti migogoro kibiti

    Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo. Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
  2. Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kibiti atangaza kumuunga mkono Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani Mohammedi Seif amejitokeza hadharani na kueleza msimamo wake kuwa anamuunga mkono Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani...
  3. REB yatembelea Kijiji cha Keichuru - Kibiti, Wananchi watakiwa kutunza na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme

    Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wananchi hao wametoa pongezi hizo Disemba 1, 2024 wakati...
  4. Serikali Kujenga Kituo cha Afya Kata ya Mtunda, Kibiti

    SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI "Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali katika kujenga kituo cha Afya kwa wananchi ambao wamesubiri kwa muda mrefu sana?" - Mhe. Twaha...
  5. Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee!

    Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee! Iโ€™m so thrilled and pleased to confidently finger-point Dr. Faustine Engelbert Ndugulile a Tanzanian former deputy health minister, and previous minister for Communication and ICT contending for...
  6. Wizara ya Afya na TAMISEMI mmetukosea sana Idara ya Afya Halmashauri ya Wilaya Kibiti

    Katika hali ya kushangaza wizara na TAMISEMI imetuletea DMO kutoka Mtama DC. DMO huyu alikuwa na tuhuma lukuki huko alikotoka na ikafikia madiwani kuazimia kumtoa madarakani lakini cha kushangaza mnatuletea huku. Ilishindikana kuteua Daktari yoyote ndani ya halmashauri yetu mpaka mkaamua...
  7. Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  8. Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...
  9. Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  10. KERO Kibiti umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja

    Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana. Na msivyo na aibu mnasema eti ni miundombinu wakati tangu umeme umeingia wilaya ile haijafika miaka 10. Ni...
  11. Kamati ya taifa ya Maafa imetembelea Rufiji na Kibiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
  12. MP Kibiti: Urgent Request for Food Stuffs Support to Flood Affected Kibiti District Communities

    RE: URGENT REQUEST FOR FOOD STUFFS SUPPORT TO FLOOD AFFECTED KIBITI DISTRICT COMMUNITIES Dear: Well-wishers, Friends, Sympathizers, Neighbors, Fellow Tanzanians. Date: 09th April, 2024. Kindly be reminded on the caption above. I am humbly presenting to you this hand of pity plea, with an...
  13. Mbunge Twaha Mpembenwe afika Kibiti kutoa pole, Rais Samia Suluhu Hassan kutuma misaada ya kibinadamu kusaaidia wahanga wa mafuriko

    Mbunge Twaha Mpembenwe Afika Kibiti Kutoa Pole, Rais Samia Suluhu Hassan Kutuma Misaada ya Kibinadamu Kusaaidia Wahanga wa Mafuriko Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Ally Mpembenwe amefanya ziara ya kuwatembelea wananchi wa Kata, Vijiji, vitongoji na mitaa katika Wilaya ya...
  14. U

    Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
  15. Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
  16. MP (Kibiti) Twaha Mpembenwe: The Unsung Hero (Samia Suluhu Hassan)

    MP (Kibiti) Twaha Mpembenwe: The Unsung Hero (Samia Suluhu Hassan) I am humbly writing you to heartily congratulate and appreciate on the resounding sustainable administrative revolution accomplishment. Since the time you assumed office in March 2021, your administration branded its actions...
  17. Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi.. ===== Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
  18. Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

    Mwamba aliyeondoka aliwapa Kazi ya Kusaficha Wazee wa Morogoro na hao Wapumbavu na Wahuni walidhibitiwa vilivyo na Wengine hadi Kukimbilia nchi Jirani. Cha Kushangaza aliyeko sasa anatanguliza Huruma na Imani yake ya Kidini kwa Kuogopa kuruhusu tena Wazee wa Morogoro warejee ili Safari hii siyo...
  19. Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

    He'll Katika kutimiza majukumu ya kazi leo nilikuwa Kibiti sehemu moja inaitwa mkamba nimetoka mjini saa nne nimefika saa nane mda ukawa umeenda sana na ilikuwa lazima kumaliza kazi leo sikutaka kulala uko Nikawa nimemaliza kazi saa kumi na moja nikawa nauliza wenyeji usafiri wakaniambia boda...
  20. Sirro: Sitosahau Askari walipopigwa risasi Kibiti

    IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na Majambazi baada ya kushambulia kwa risasi gari la Polisi katika Kijiji cha Uchembe, Kata ya Mjawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ