Wakuu,
Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mala ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December 5 2023
Soma Pia: Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex |...
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea...
Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Rasmi: Kibu Dennis ni...
Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao.
"Katika malengo yetu msimu huu moja
ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?.
Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa...
Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars.
Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
Kibu Denis ndio kiungo mshambuliaji pekee aliyebaki kuokoa jahazi la Simba, mechi ya leo angeimaliza mapema kabisa.
Kwa sasa tutake tusitake mchezaji Kibu Dennis ana umuhimu mkubwa sana ndani ya timu yetu, bila yeye Simba haionekani kabisa kucheza dimbani.
Tukubali tusikubali Kibu Dennis...
Wanasema kwa mpira wa sasa, magoli mengi yanatokea kwenye mipira ya kutengwa.
Wengi wanadai Denis Kibu sio mchezaji mzuri kisa hana magoli au assist nyingi ila wanasahau ni mmoja wa wachezaji wenye kuchezewa faulo kuliko mchezaji mwingine katika ligi ya NBC (ni mtazamo tu ila sina takwimu...
Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha.
hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli.
Mwisho kabisa hatuoni akifunga.
Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli...
Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu.
Soma Pia:
Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka
Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki!
Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi, angetumikia kwanza adhabu yake ili liwe fundisho kwa wengine, lakini Cha ajabu kibu anaonekana...
Mambo ya ajabu sana kwa mpira wa kitanzania haswa kwa timu za Kariakoo ila naona Yanga wamejitoa kua wasanii na kua na viongozi wapumbavu.
Timu ya SIMBA, mchezaji anapewa mkataba, pesa na kila kitu alichoomba, badala ya kuripoti kambini mchezaji anaonesha utovu wa nidhamu kwa kutokuja mahala...
Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri.
Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho.
Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya.
Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.