kibu denis

Kibu Denis Prosper (born 4 December 1998), is a Tanzanian footballer who plays as a forward for Simba S.C., a club based in Dar es salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. PakiJinja

    Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka

    Bila ya kujalisha upo timu gani, bila kujali ni wakina nani waliopo nyuma ya Kibu Denis, wapenda soka wote wanapaswa kumlaani kwa alichowafanyia Simba. Simba wamemtoa Kibu huko walipomtoa, wakampambania katika changamoto alizozipitia, wakampa nafasi lakini hakuwapa chochote cha maana zaidi ya...
  2. GENTAMYCINE

    Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

    Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu. Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za...
  3. GENTAMYCINE

    Kibu Denis yamemkuta, Klabu ya Kristiansund ya Norway aliyotaka kwenda yasitisha kumnunua na sasa yuko njiani kurejea Dar Tanzania

    Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC...
  4. M

    SI KWELI Kibu Denis aiomba radhi klabu ya Simba SC (Julai 31, 2024)

    Kibu Denis Kaiomba radhi Simba SC kupitia akaunti yake ya X, amesema mtoto akinyea mkono haukatwi.
  5. mdukuzi

    Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

    Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi. Kibu Denis ana jinamizi au...
  6. political monger senior

    Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

    Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka. Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba. ℹ️ Klabu ya Kristiansund BK imeandika barua rasmi kwenda Simba SC ili kumnunua mchezaji huyo...
  7. ngara23

    Kibu Denis siyo mjinga, Kuna jambo halipo sawa hapo kati ya Simba na Kibu

    Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni. Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao. Kibu Ali sain pre contract na akahaidiana na Viongozi wa Simba kuwa atasaini wakikamilisha baadhi ya matakwa ya...
  8. Mkalukungone mwamba

    Kibu Denis amkataa meneja wake rashid/ atoa cheche "simjui, tulimalizana"

    Msikie alichokizungumza Mchezaji wa Simba Kibu D baada ya sitofahamu inaendelea kati yake na Klabu yake na Simba Ambapo hapa ameeleza kila kitu na kumuhusu Meneja wake ambaye ndiye alikuwa anatoa taarifa zake
  9. William Mshumbusi

    Kibu Denis mamilion ya Simba yamemchanganya anahiyaji msaada wavushauri nasaha mapema yasimkute ya Mwisho Mwampamba au Idrisa Sultan

    Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo...
  10. Labani og

    Yanga walitoa somo la ubaya wa staili ya Feitoto, Simba walishangilia

    Kwenye haya mambo ya termination of contracts Yanga walikuwa smart sana ila makolo mlikaza vichwa. Turudi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Yanga sc waliwatadhalisha kwenye sakata la FEI TOTO kuwa kama mchezaji ataondoka klabuni kwa mfumo wa FEI TOTO basi wachezaji wengi wataondoka kwa...
  11. Labani og

    Hakuna mchezaji bora anayeweza kukubali kucheza kombe la walioshindwa. Kibu yupo sahihi

    Hakuna mchezaji mkubwa atakubali kucheza kombe la waliofeli [emoji15] Kama utakuwa na akili ya soka utaelewa, ndoto ya Kila mchezaji ni kucheza CAF championship (Yanga) na sio kombe la waliofeli (Simba)
  12. kavulata

    Ubaya ubwela utaiathiri Simba. Umeanza na Kibu Denis, Lawi, Awesu na Valentino

    MwenyeziMungu hapendezwi na kuombea mtu mabaya yamfike, anawapenda watu wanao omba na kuombea mema/kheri. Simba wamekuja na ujinga wa ubaya ubwela msimu huu na kusahau kuwa kuombea watu ubaya hakumpendezi Mungu hata kidogo. Wamesahau kuwa mchimba kisima huingia mweyewe au huingia mtuwe. Sasa...
  13. Majok majok

    Sakata la Kibu Denis na Simba linanifikirisha, kwanini mchezaji anajiamini kiasi hiki?

    Ninapata mashaka sana kwenye hiki kinachofanywa na KIBU DENIS, kwanini ANAJIAMINI sana na kufanya mambo ya ajabu namna hii? Mchezaji umesaini mkataba mpya ata mwezi aujaisha alafu unagoma makusudi kujiunga na Kambi ya timu yako na unajua kabisa Sheria zinazoongoza mpira duniani zilivyo unapataje...
  14. LIKUD

    Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

    Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400. Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake. Kwa hiyo Kibu alicho kifanya ni kile wanacho kiita wanasheria " Bona fide Claim of Right". Amejilipa haki...
  15. Heparin

    Simba kumchukulia hatua za kinidhamu Kibu Denis kwa kutokuripoti kambini

    Klabu ya Simba inautaarifu Umma kuwa mchezaji wake, Kibu Denis Prosper hajaripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mwaka 2024/2025. Tunapenda kuutarifu umma kuwa Simba tulimuongezea Kibu mkataba wa miaka miwili zaidi utakaoisha, Juni 2026 na kumlipa stahiki zake zote za...
  16. U

    Dili la Ulaya sababu za Kibu Denis Kutoonekana kambini

    Mchezaji superstar na tegemezi wa timu ya simba Kibu denis, yupo nje ya nchi kukamilisha mazungumzo na klabu yake mpya ya ubeligiji inayocheza ligi daraja la pili, mchezaji huyo alisaini dili jipya na klabu ya simba huku akipewa gari, na pesa zote alizostaili kulipwa, na msimu ulivyoisha...
  17. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

    Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga SC. Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15...
Back
Top Bottom