Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa.
Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi.
RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo...