kichaa

Espen Sørensen, known professionally as Mzungu Kichaa, is a Danish singer and musician. He was born in Denmark, but grew up in Tanzania, where his parents worked in the field of Development Cooperation. They went there when he was six years old. In Tanzania, he learned to speak Swahili fluently, and later on, he got involved in music and particularly in the production of Bongo Flava at Bongo Records. The latest outcome of his interest in East African music is his first solo album "Tuko Pamoja".

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kichaa cha kulogewa huonesha kosa ulilofanya

    Ukipita pita huko mtaani angaza! 1. Vichaa wengi walioiba nguo wanapenda kukaa uchi huku wakiwa na furushi mgongoni. 2. Kichaa aliyeiba bodaboda hakosi ELEMET kichwani au koti/refrecta. 3. Kichaa aliyekula mke wa mtu muda wote mbele za watu akifika hukata mauno au kupampu kiuno mwanzo mwisho...
  2. Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  3. WHO: Afrika inaongoza kwa idadi ya watu wanaojiua duniani

    Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za hatari zinazohusiana na vifo hivyo Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti Bara la amesema...
  4. Kichaa cha mbwa hakitibiwi kwa jadi

    JAMII imeaswa kwenda kupata huduma za tiba ya kichaa cha mbwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya badala ya kwenda kwa waganga wa jadi, hali inayoweza kusababisha vifo visivyokuwa vya lazima. Hayo yamebainishwa na Ofisa mifugo kata ya Sofu,Grory Amos,wakati akitoa elimu ya umuhimu wa chanjo...
  5. SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
  6. Watanzania mna kichaa!?

    Kuna mkatoliki aliwahi kuandika kitabu chenye jina la ''Wakatoliki mna kichaa?'' Alikuwa amehama dini flani na kuingia kwenye Ukatoliki. Leo na mimi naomba niwaulize watanzania(au angalau watanganyika) mna kichaa!? Hivi ndivyo mataifa au mgeni yeyote akija Tanzania atajiuliza na pengine...
  7. K

    Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

    Jamani nani kalima yeye kama yeye na kuvuma pilipili kichaa atupe ushuhuda wa faida na changamoto za kilimo husika. Asante
  8. P

    Ninahisi nina kichaa, tafadhali nisaidieni, msinikejeli wala kunisema...

    Habar wana jamii, kwanza nianze kwa kusema mm ni mtu mwenye hasira sana, ninasumbuliwa na depression napenda kujiisolate na kukaa mwenyewe, tangu nimalize chuo sikutafuta kazi nimejifungia ndani huu mwaka wa tano, sikuwa naelewa tatizo langu nini Ila nimejua mwaka Jana kuwa shida ni mental...
  9. Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

    "Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama? Wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara? Mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama?" ~Nape Nnauye ---- Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  10. Kichaa ana hisia za kupenda? Je, anaweza kuafanya mapenzi?

    Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali. a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii? b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya...
  11. Nilivyopelekwa milembe wakidhani mi kichaa kumbe ni mzima

    Kuna miaka nilikuwa mkoa fulani katika kupambana na maisha, nikapanga room mi na mwamba mmoja tuliyetoka nae mjini, huyu mwamba ikifika usiku mnene ananiamsha nakunionyesha watu au mtu ambaye simuoni, nikadhani anakuwa anaota, tukiamka ndio ananiambia kuwa jana usiku huyu mama wa nyumba ya...
  12. Ushauri: Nimekuja kugundua naishi na mwanamke ambaye amewahi kuugua Ukichaa

    Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita, sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa. Je hili likoje? Nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa...
  13. M

    WHO: Kwa sasa dunia ina Watu wenye Ukichaa Milioni 55, mwaka 2030 watafikia Milioni 78 na mwaka 2050 watakuwa Milioni 139

    Kwa Ripoti / Taarifa hii ya Shirika la Afya Duniani ( WHO ) Mightier Mimi wala siwakatalii, kwani nina uhakika kuna Mtanzania Mmoja kwa Kujichanganya Kwake kuhusu Yesu Kristo badala ya Nabii Yusuph nae piga ua katika hawa Milioni 55 ya Watu wenye Ukichaa ( Dementia ) nae yumo. Na...
  14. R

    Asante Bwana Yesu, malimao, ndimu na pilipili kichaa zangu haziibiwi tena

    Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo. Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka. Asante Bwana Yesu siibiwi tena
  15. Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Habari wanajamvi wenzangu! Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts. Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
  16. Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

    Japo mwenyewe alishawahi kukiri kuwa ana ukichaa fulani kichwani lakini wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema Nyongo kutoka huko kanda ya ziwa. Lakini ningependa tujikumbushe kitu ukiachilia mbali umwagaji huo wa Nyongo. Kuna walakin labda sababu ya chuki za kisiasa hapa ama yasemwayo...
  17. Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  18. Upendo kwenye Mahusiano unaupimaje?

    Wanajamvi, Umofia kwenu! Mimi ni mwanaume mtu mzima kidogo, yaani miaka 44 hv.nimeoa na nna watoto. Mwaka 2015 hapa nyumbani kwangu nilipata shida ya msichana wa kazi za nyumbani, yule aliyekuwepo alipata mchumba akaolewa. Kutokana na majukumu tuliyonayo me na mke wangu, ilitulazimu kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…