kichagga

Chaga, also Kichaga or Kichagga, is a Bantu dialect continuum spoken by the Chaga people of northern Tanzania, south of Mount Kilimanjaro.
They also speak 9 different dialects which are Kivunjo, Kimarangu, Kirombo, Kimachame, Kisiha, Kikibosho, Kiuru, Kioldimoshi and Kingassa.
The Chaga languages are:
West Kilimanjaro (West Chaga), including Meru and Machame
Central Kilimanjaro (Central Chaga), including Mochi (Old Moshi) and Wunjo
Rombo
Rusha (Arusha-Chini)
Kahe
Gweno

View More On Wikipedia.org
  1. Mwakinyo makini

    JamiiForums Tanzania Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Wakuu, Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Wanawake wa Kipare wanajiona wao ndio wana Soko kubwa sana kwenye Mahusiano tofauti na Wanawake wa Kichagga?

    Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu? Hii nazungumzia kwa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  4. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Wana JF na great thinkers. Watoa threads nyingi humu za kuipinga Chadema na kwingineko avatars zinabandikwa majina bandia ya Kichagga . Ni

    Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari. Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike. Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA kimbiaaaa mkuu wangu.

    Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu. I'm done..
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro halikuandaliwa Kichagga

    Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia! Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi...
  7. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Tafsiri ya "Manka" kichagga na tabia zao

    Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga. Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa. Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike. Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi...
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

    Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni. Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu...
  9. LENGISHO

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

    Aichi—Anajua iachikyia--Kujenga Ichele—Kichaga Ichondi- --- Kondoo Iikyelyia—Kuogelea Ikawilyia—Kupalilia Ilyingoi---Jogoo inyi—Mimi Ipalipali- --Bahari Ipore---Yai Irikoso—Taji Isewa—Kibuyu Itukuo—Kushangaa Iwuwu—Kuona makengeza Iyesho---- Majaribu Kiamba---Shamba...
Back
Top Bottom