WATU 16 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa mahojiano kutokana na kufukuliwa na kuibwa kwa mwili wa mtoto, Christian Samson, mwenye umri wa mwaka mmoja na mwezi mmoja.
Inadaiwa kuwa mwili wa mtoto huyo ulifukuliwa kwa kile kilichoelezwa ni kutokana na imani za kishirikina...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga aliyekuwa ametupwa chooni jana tarehe 01 Desemba, 2021 huko wilayani Karagwe kata ya Bugene katika Mtaa wa Lukajage.
Mtoto huyo wa Kiume anayesadikiwa kuwa na umri wa Siku Mbili alitupwa katika choo hicho na mtu...
Wadau, poleni kwa kazi. Kuna utamaduni (nadhani kwa nia njema) mwanamke akishajifungua, wapo watu (hususan majirani tena wanawake) hufunga safari kwenda kumwona mtoto.
Katika 'ziara' hiyo wageni hao hubeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kumpa hongera mama (mzazi) kwa kupata mtoto ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.