Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini.
Kutokana na hatua...
Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana!
Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika?
Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo
Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut
Mfano TRC wanataka kununua engine za...
I salute you kinsmen.
Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe.
Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka.
Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli.
Inasemekana...
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa
kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo.
Utendaji wa...
Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa!
Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo!
Unapochukua kocha...
Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.
Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
Unakuta kuna Mwanamke hana Bikra na kasha-Do na watu kadhaa lakini mwisho wa siku anamuomba mungu ampatie mwanaume mwenye hofu ya mungu.
Zingatia: Wanaume wenye hofu ya mungu huwa wanaoa wanawake Bikra tu.
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?
--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na...
naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani..
nisiwe mnaafik..ananipenda si utani..
mtoto shokishoki..anatokea visiwani..
tena amejikoki..haniachi asilani..
penzi lake mshikaki..lina tamu milioni..
mie ndani sitoki ..nimeganda kama lami..
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi.
Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
Habarini nyote.
Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho.
Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo bora?
Ushauri kwa TFF isilazimishe kubalance hizi tuzo ili kuweka usawa, Bali watumie uhalisia wa mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.