Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.
Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la...
Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao.
Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu hakipo sawa.
Wakati serikali ikitangaza hili jambo wanafunzi wanaokwenda kuanza form five mwaka huu...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa.
Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000.
Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo.
Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha.
Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...
Na Mwl Matete
Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
Kufuatia Machaguzi ya kwenda kujiunga na elimu ya kidato cha 5 na vyuo vya Kati. Nimeona wizara (TAMISEMI) imewapangia wanafunzi wengi sana kwenda kusoma vyuo vya kati.
Kwa kozi zingine ambazo ukiziona unaanza kumuonea dogo huruma. Mfano: Public Administration, Tour Guide, ualimu, Business...
Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021 imeongezeka kwa asilimia 14.
Ongezeko hilo linakuja baada ya jumla ya watahiniwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu...
Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia.
Kiukweli 24/7...
Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020
Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
Mbunge wa Kasulu Mjini Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita wanafunzi wote wa kike waliosoma katika shule za serikali na kupata Daraja la kwanza katika jimbo lake kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka huu 2021.
Mbunge wa Kasulu Mjini na Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.