kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanajihadi wanahisiwa kuua 28 Burkina Faso

    Ni mwendo wa kuua tu, Twenty-eight people have died in new attacks by suspected jihadists in Burkina Faso, including 15 who had been abducted at the weekend, the authorities said Tuesday. Fifteen bodies bearing bullet impacts were found on Monday near Linguekoro, a village in the western...
  2. Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

    (Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi. ========================== Utakatishaji pesa ni nini...
  3. DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  4. Magaidi wenye itikadi za kidini walipua mabomu na kuua nane Somalia

    Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane..... Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists. The...
  5. Magaidi wa kidini wakataza wanawake wasitibiwe na wanaume, ila pia wanawake wasielimishwe kuwa madaktari

    Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike. Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa...
  6. Magaidi wenye milengo ya kidini, yaani Taliban na IS wauana

    Afghanistan's ruling Taliban killed eight Islamic State militants and arrested nine others in a series of raids targeting key figures in a spate of attacks in Kabul, a senior Taliban government spokesman said Thursday. The Islamic State group claimed responsibility for a deadly bombing near a...
  7. Watu wa bara mna ubaguzi na chuki za kidini

    Happy ban day! Watu wa bara mnapaswa kubadilika na kuwa na ustaarabu! Nyie watu mmekosa ustaarabu na chuki zimewajaa acheni hizo gubu zenu na nyinyi huku pwani tuwatimue? Nimechokwa na chuki zenu za udini kila mara mnazowafanyia ndugu zetu wa pwani hamuwaruhusu kusoma shuleni zenu na nasikia...
  8. Magaidi 33 wa kidini wauawa Pakistan

    Magaidi 33 wa kiislamu ambao humpigania "mungu" wa waislamu wameuawa. Pakistani security forces have retaken a police station that was captured, killing all 33 hostage-takers, the defence minister has said. Islamist militants from the Pakistani Taliban seized the centre in the remote...
  9. Iran: Kikosi cha kidini chavunjiliwa mbali, na pia sheria kandamizi za kidini kuondolewa

    Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana wananchi bado wamekomaa.. ================ Iran’s Attorney General Mohammad Jafar Montazeri said...
  10. Je, Tanzania ni taifa la kidini?

    Habari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. Swali lenyewe muhimu ni hili:- Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ? Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale...
  11. Iran, mpaka sasa wameuawa Polisi 50 waliokuwa wanapambana na waandamanaji dhidi ya udhulumaji wa kidini

    Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini. Maandamano bado yako pale pale....wamekomaa ============================== DUBAI (Reuters) - Around 50 police have...
  12. Hadi sasa Iran imeua raia 328 na kukamata 14,825 katika kuzuia maandamano dhidi ya duluma za kidini

    Maandamano yanaendelea, raia wa Iran wamekubali kuendelea kuuawa na serikali yao inayopambana kumpigania "mungu" wa waislamu. Hii yote ilitokana na tukio la mwanamke kuuawa kisa kipande cha nywele kilichomoza kwenye buibui kinyume na dini inavyoamrisha. Protests in Iran raged on streets into...
  13. Iran: Mwanajeshi auawa na pia polisi 10 wajeruhiwa kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

    Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran. Hundreds of people blocked the highway that runs through the...
  14. Wananchi Iran waendelea kuandamana dhidi dhuluma za kidini

    Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa kipande cha nywele kimejichomoza. ================== Acity in Iran that was the scene of a bloody...
  15. Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  16. Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
  17. Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  18. Mpaka sasa Iran imeua wananchi 201 kwenye maandamano ya kupinga dhuluma za kidini

    Serikali ya Iran inaedelea kumpigania "mungu" wao kwa kuua wananchi, ila hao wananchi wamechachamaa, itabidi wafe wote. Watu wamechoka kulazimishwa dini na serikali, yanapaswa kuwa maamuzi ya binafsi. Protests in Iran are continuing despite a crackdown by security forces that one human rights...
  19. Mpaka sasa watu 133 wamekufa Iran kwenye maandamano ya kupiga uonevu wa kidini

    Maandamano bado yanaendelea, wananchi wamechoka kulazimishwa kufuata sheria za kidini zinazowadhulumu, mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele kimeonekana..... Wanaendelea kuuawa ila wameamua hiyo damu haitamwagika bure. On September 30, people gathered after Friday prayer in Zahedan to...
  20. Maandamano Iran: Mpaka sasa wamekufa 83, maandamano yanaendelea, wamechoka uonevu wa kidini

    Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya kidini iwaue wote. ===== Iranians have defied crackdowns and showed up for protests in cities...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…