kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Iran: Waliouawa katika maandamano wafika 76

    Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia maandamano . Mamia ya waandamaji wakishikiliwa, 20 kati yao wakiwa waandishi wa habari na yameendelea...
  2. Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  3. Afghanistan: Maafisa wawili wa Urusi wafa kwa shambulio la bomu ubalozini

    Vigumu sana kuelewa haya maugomvi, Urusi amekua akisifiwa na wavaa kobaz tangu alipovamia Ukraine, ila leo naona wanajitoa mhanga kwa kujilipua kwenye ubalozi wake. ISIL claims responsibility The ISIL (ISIS) group claimed responsibility for the attack late on Monday. An ISIL fighter “blew up...
  4. Alshabaab wavamia msafara wa chakula na kuutia kiberiti na kuua watu 20

    Wapiganaji wa dini ya uislamu, alshabaab wamevamia msafara wa chakula cha misaada na kuua watu 20 na kujeruhi wengine. Pia wameongeza mashambulizi kwa wanavijiji. Four trucks carrying food relief and three minibuses were set ablaze. Authorities said al-Shabab has been intensifying attacks in...
  5. Somalia: Al-Shabab wateka hoteli Mogadishu

    Vita vinaendelea, milipuko na milio ya risasi zinarindima ndani ya hoteli moja kubwa Somalia, wameamua kujitoa mhanga kwa sababu zao wenyewe.... Al-Shabab gunmen have taken control of a hotel in the Somali capital, Mogadishu. Several explosions and gunfire were heard outside the building...
  6. Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kwa kuenea kwa Surua Zimbabwe

    Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikusanyiko ya kidini imesababisha kuongezeka kwa maambukizi. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, wizara hiyo katika taarifa imesema kwamba mlipuko huo sasa...
  7. Mpiganaji wa kidini ajilipua Somalia na kuua watu 11

    Jamaa kaamua kulipuka tu hamna namna...isiwe tabu..kimsingi afe nao District Commissioner Abdillahi Ali Waafow was among those killed in Wednesday's attack, the secretary-general of the Marka town administration in the Lower Shabelle region, Mohamed Osmaan Yariisoow, told The Associated Press...
  8. Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  9. Tunapaswa Kuondoa Pazia la Imani za Kijamii na Kidini Zinazofunika Tatizo la Ndoa za Lazima

    Inasikitisha kuwa katika karne hii ya 21 bado kuna jamii duniani ambazo zinahalalisha na kuwalazimisha wanawake wanaobakwa kuolewa na wabakaji wao, au kuwalazimisha mabinti kuolewa na watu wasiowapenda. Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa watu milioni 40.3 ni watumwa duniani kote...
  10. Vyama vya upinzani vinawezaje kuepuka kuonekana vina sura ya kidini?

    Hili suala halisemwi lakini lipo. CUF kilikuwa cha kizuri na tishio cha upinzani. Shida yake kilionekana kama kina sura ya kiislamu. CDM kukawa vizuri sana lakini kikawa kama kina sura ya kikristo. Imekuja ACT wazalendo lakini kinaonekana kama cha Zanzibar na Pwani kwa waislamu. Chama kuwa na...
  11. M

    Radio za kidini na Matangazo ya Biashara

    Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo? Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
  12. Viongozi wa Kkidini wamepotoka rudini kwenye mstari

    Matatizo mengi yanaendelea kuzikikumba jamii na familia katika kipindi hichi cha kidigital,maadili kuharibika uhuni na umalaya kuongezeka jamii imeoza kwa tabia chafu na mitazamo hafifu ya binadamu. Katika maisha zipo taasisi ambazo zinazo simamia maadili ya kila mmoja wetu kwa kuweza...
  13. Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  14. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  15. IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  16. C

    Maneno ya Osama baada ya Al-Qaeda kulipua balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya

    Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo...
  17. Askofu Gwajima anatafuta umaarufu wa kisiasa au kidini?

    Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge...
  18. Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

    Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia. ======== Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP At least two people were killed and five wounded...
  19. TEC waomba taasisi za kidini kufutiwa madeni yote

    Baraza la Maaskofu wa kanisa katoliki #Tanzania #TEC limeomba Serikali kuziondolea madeni ya nyuma inayozidai Taasisi zote dini nchini ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma za kijamii.
  20. Ndoa ya Bomani na ndoa ya kidini

    Wakuu wabobezi habari za asubuhi. Napenda kuuliza, ikiwa nimefunga ndoa ya kiserikali na ikafikia wakati tukawa tumetengana na mwenzangu kwa maana ya kuachana japo tuna watoto, naruhusiwa kufunga ndoa ya kidini na mwanamke mwingine bila ya kutengua ndoa ya awali ya kiserikali?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…