The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
Hellow
Leo hatupiki leo tunatoka out kidogo kusafisha macho
Kwanza nilianzia kanisani kubugujika kidogo
baada ya hapo nikawa nawaza kichwa kizito so niende sehemu ya karibu na hapa nikaona ni cape town sehemu yangu pendwa
Nikawa natuliza akili mm situmii pombe kabisa nikaagiza moctail...
Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu
Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani hili jina sio geni kwa wengi wenu.
Nilianza kumfahamu rasmi nadhani ni 2017 kama sikosei katika...
TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi...
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono.
Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani.
Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
TWAHA MWAIPAYA ACHA NIKUSAIDIE KIDOGO.
Na.
Peter Dafi.
Bukene, Nzega, Tabora.
Ulipokuwa Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora Ulisema Pesa za Kufa na Kuzikana za Jeshi la Polisi Zimeliwa na CCM.
Huo ni Uwongo na Acha Nikujuze kuwa Hakuna Mkono wa CCM au Mwana CCM umeshika Pesa za Jeshi la Police...
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing
Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time
Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time)
Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
Nauliza swali tu wanaume .
Nani anawaambia kuwa mimi ni wakuzalishwa bila ndoa naninataka kupunguziwa haja na mtu ??
Jueni hili miaka yenu yote mie nilionwa sifai nanyie nikazoeaa . Halafu kila anayeniona naunene wangu mnaniita single mother , eti mshangazi hamuezi kudate na mzee .
Sasa huu...
Mambo vp wakuu,
Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana.
Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni...
Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa.
Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu.
'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA...
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.