Habari Wakuu,,
Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua).
Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda.
Nahitaji nipate kifaa...
Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE
LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU.
Namba 0617009453
DSM
Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza
Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona kwani ilipiga shoti ikaua mpaka hita lakini ile pasi ilikuwa Bado nzuri kwa bodi lake
Baada ya...
Habari ya majukumu wakuu...
Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa.
Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze
Natanguliza shukuran
Good Afternoon Everyone.
Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router??
Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan!
Huduma inabak ya mmoja tu!.
Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho.
Unapata watoto wa nyonga yako tu.
Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz.
Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu.
CHANGAMOTO:
1. wenye master key
2. Muundaji kuacha...
Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana.
Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona.
Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa...
Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba.
NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR).
Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
Habari ya majukum wakuu?
Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki?
Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER
Kinauzwaje?
Mi napatikana Iringa
N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin.
habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas
Nipo mazingira ya mjini
binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles
Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku,
niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
Assalam Wana jukwaa, nauliza Kuna application ya simu inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti maeneo yanayonizunguka.
Kwa mfano tupo kwenye mazungumzo, mtu mmoja akawa anarecord sauti kwa kutumia simu, je naweza kuwa na application ya kugundua uwepo wa simu hiyo au kifaa hicho?
Shukran!!
Wasalaam.
Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa.
Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor.
Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.