Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.
Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30. Akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho, Mhe Mwenda aliwapongeza kwa pamoja Mwenyekiti...
Pamoja wakuu, naomba kufahamishwa matumizi ya dehumidifier kwa hapa bongo na kama kuna maduka yanaziuza na soko lake linakuwa linalenga watumiaji wa aina gani. Nawasilisha.
Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.
Kifaa hicho kilichopewa jina la...
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars'
Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi
Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya...
Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi.
Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa je logo kabla hujai print unaifitisha vipi kwenye hicho kimachine?
Mwenye darasa tafadhali tufungue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.