kifaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Habari za asubuhi wadau Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani. NEW
  2. Nahitaji kifaa cha kuwasha taa za solar Outomatically

    Habari Wakuu,, Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua). Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda. Nahitaji nipate kifaa...
  3. Nataka kuagiza kifaa mtandaoni je? Nitadaiwa kodi

    Ni kifaa Cha matumizi ofisini kwangu kina thamani ya 200,000 tu
  4. LEO NAUZA HIKI KIFAA KWA BEI YA MWAKA MPYA

    Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU. Namba 0617009453 DSM
  5. Utakubali kumwachia fundi kifaa ambacho amekwambia hakifai tena kupona?

    Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona kwani ilipiga shoti ikaua mpaka hita lakini ile pasi ilikuwa Bado nzuri kwa bodi lake Baada ya...
  6. NIPENI ELIMU YA HIKI KIFAA

    Habari ya majukumu wakuu... Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa. Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze Natanguliza shukuran
  7. Kwanini hakuna "Unlimited Data" pasipo kununua kifaa cha ziada (WiFi)?? Au mimi ndio mshamba??....

    Good Afternoon Everyone. Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router?? Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
  8. Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

    Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
  9. Mwenye kujua wapi naweza pata hiki kifaa

    hiki kifaa kwaajili ya Packaging machine.
  10. Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

    Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz. Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu. CHANGAMOTO: 1. wenye master key 2. Muundaji kuacha...
  11. D

    Tunafunga GPRS, tupo Mwenge

    Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana. Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
  12. Nini Maana Ya 123KwH/year Kwenye Kifaa Cha Umeme(jokofu)

    Wakuu habarini. Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption. Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.? Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri. Maswali yangu ni Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda...
  13. Elon Musk atangaza kampuni yake ya Neuralink kuleta kifaa tiba cha kuwawezesha vipofu kuona!

    Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona. Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa...
  14. Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

    Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
  15. Kutoka Kubeba Laptop Hadi Kuvaa Kifaa: AR na VR Zinafungua Dunia Mpya

    Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR). Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
  16. Wapi naweza kukipata kifaa hiki

    Habari ya majukum wakuu? Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
  17. Msaada wa kifaa hiki?

    Habari ya majukum wakuu?. Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
  18. G

    nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  19. Msaada, je Kuna mobile app inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti?

    Assalam Wana jukwaa, nauliza Kuna application ya simu inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti maeneo yanayonizunguka. Kwa mfano tupo kwenye mazungumzo, mtu mmoja akawa anarecord sauti kwa kutumia simu, je naweza kuwa na application ya kugundua uwepo wa simu hiyo au kifaa hicho? Shukran!!
  20. Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…