Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi.
Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa je logo kabla hujai print unaifitisha vipi kwenye hicho kimachine?
Mwenye darasa tafadhali tufungue...