kifedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Msaada wa kifedha wa China kwa Afrika "kupiga breki"?

    Hassan Zhou Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
  2. Kaka mwisho

    Tupeni ushuhuda kwa mliowahi kukopo kwenye taasisi za kifedha zinazofuata utaratibu wa Sharia za Kiislam. Utaratibu upoje

    Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k. Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi) Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
  3. sky soldier

    Kwanini wachungaji wengi wa kisabato wana hali za kawaida kifedha

    Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha. Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara...
  4. L

    Utoaji bora wa huduma za kifedha utahimiza ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Na Kelly Ogome China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha. Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
  5. Gabb_y

    KANUNI 7 ZA KUFANIKIWA KIFEDHA

    *****†********
  6. Dr Restart

    Azam Pesa: Huduma mpya ya kifedha

    Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'. Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like. Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda...
  7. M

    SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
  8. Naanto Mushi

    Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  9. jingalao

    Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

    Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
  10. Kaaya10

    Uhuru wa kifedha makala ya tatu

    Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;- • Akiba • Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi • Mikopo kutoka taasisi za...
  11. Kidagaa kimemwozea

    SoC01 Tozo kubwa miamala ya kifedha na makakato ya simu kama kikwazo cha maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  13. Kaaya10

    Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama

    Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo. Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama. Ili uweze kufikia uhuru wa kifedha...
  14. beth

    Umoja wa Ulaya (EU) kuiondolea Burundi vikwazo vya kifedha

    Umoja wa Ulaya (EU) upo kwenye Mchakato wa kuiondolea Burundi vizuizi vya kifedha, ambapo Mwakilishi wake Nchini humo amesema hatua hiyo ni mwanzo wa kufuta marufuku hiyo. Mwaka 2016, EU Ilisitisha msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwa Serikali ya Burundi kutokana na ukiukwaji wa Haki za...
  15. demigod

    Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
  16. Stroke

    Kama kuna uwezekano (kifedha) Kitengo cha CID kiwe taasisi kamili inayojitegemea

    Kutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya Kijinai "serious offences/crimes" Hivyo kiutendaji watumishi katika kitengo hicho wanategemewa kuwa...
  17. johnsold

    Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

    Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu. Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
Back
Top Bottom