kifo cha ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea. Hakika nyuma yake mbele yetu.
  2. Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

    Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani. Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje? Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako na kuishi kama Mungu anavyotaka bila kusahau jamii na sheria za nchi zinataka nini. Kuishi kama...
  3. Kifo kinaonekana kabla hakijatokea, hakuna kifo cha ghafla

    Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafla. Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo. Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered. Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…