Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida.

Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😄

Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
 
Kiimani na kijamii Kifo Cha gafla sio kizuri

šŸ”¹ Hakikupi muda wa kutubu dhambi zako na kuomba msamaha uliowakosea ili uende kusikojulikana bila mizigo ( changamoto Huwa wengi akili zimeshahama wanaongea vitu havieleweki )

šŸ”¹ Hakikupi nafasi ya kukabidhi na kugawa majukumu na Mali zako kwa warithi wako. Ama Mali nyingi ulizowekezs kwa Siri zitapitea kabisa au utascha nyuma vita ya kugombea Mali. Hata lindugi lako ambalo ulishagombana nano ambalo lilikuwa ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo yako ndio linasimama mbele kutoa kauli juu ya Mali zako ( si haupo?)
 
Death is a common visitor....maradona mcheza soccer alikufa na 60's+ yrs ila aliyegundua fegi alikufa na miaka 116 ..life is a mysterious phenomenon.....
 
Hata kama hunywi au unakula nyama kilo 1 ndipo unakunywa, unaweza kugongwa na toyo ukavunjikavunjika kisha ukadumu miezi au miaka kisha ukafa.

Kwa kifupi ishi maisha yako ila ukiona umepata matatizo mazito jitoe tu mhanga
 
Figo co kwa pombe tuu,,, hata wewe usiekunywa maji kiwango kinachotakiwa unaweza kupata shida hio. Hii kujua sio lazma uwe daktar au nesi. Biochemistry advance wanafundisha mkuu
 
Dry alcohol zina tabia ya kuleta kiu ya maji.. so hao wengi wana rehydrate taka mwili zinatoka kwa mkojo.
Hapo nmekusoma watakua wanakunywa sana maji, kwa maana hiyo bia zinadanganya tena za baridi zinakata kiu kama maji
 
Death is a common visitor....maradona mcheza soccer alikufa na 60's+ yrs ila aliyegundua fegi alikufa na miaka 116 ..life is a mysterious phenomenon.....
Embu nipe story kidogo kuhusu mgunduzi wa Sigara
 
Back
Top Bottom