kifo cha papa francis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hamis77

    JamiiForums Tanzania Imam Mkuu wa Al-Azhar, Ahmed El-Tayeb ahudhuria mazishi ya Papa Francis

    Imam Mkuu wa Al-Azhar, Ahmed El-Tayeb, ambaye pia aliwahi kuwa Mufti Mkuu wa Misri, ni msomi mashuhuri wa dini ya Kiislamu, mwenye elimu, ujuzi, na uelewa mkubwa wa masuala ya dini na dunia kwa ujumla. Ni rafiki wa karibu wa Papa Francis, na amekuwa mstari wa mbele katika juhudi za kukuza...
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Makala yakinifu: Kifo cha Papa na Mchakato wa Kumchagua Mrithi Wake – Kuelewa Taratibu za Kanisa Katoliki kwa Mtazamo wa Mtanzania

    Ni mara chache katika historia ya Kanisa Katoliki duniani ambapo viti vya uongozi hukaa wazi – hasa kiti cha Mtakatifu Petro, yaani kiti cha Baba Mtakatifu. Kwa sasa, tunakabiliwa na tukio hilo adhimu: Papa Francis amefariki dunia, na Kanisa Katoliki liko katika kipindi kinachoitwa...
Back
Top Bottom