Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo. Mbali na hukumu hiyo, wote wametakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani, laki mbili. Mashitaka...