kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Senior masai

    MSAADA WA USHAURI WA BIASHARA BAADA YA KIFO CHA MMILIKI

    Habari wana jf Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
  2. Mkalukungone mwamba

    Anusurika kifo kwa sababu ya mgogoro wa ardhi

    Musa Solela Ngasa (40), mkazi wa Kijiji cha Nhobola, Kata ya Talaga, Wilaya ya Kishapu, Mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa ubavuni na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa mshale. Akizungumza na vyombo vya habari, mhanga huyo amesema tukio hilo limetokea Januari 2025...
  3. P

    Wakili LIVINO: Sasa ni wazi Mbowe ni Kaburi rasmi la CHADEMA , Mbowe ndio mauti ya Upinzani wa Tanzania

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino == UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI? (Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025) Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15. 1. FREEMAN MBOWE ni KABURI la CHADEMA. Mbowe ni Mauti ya Upinzani: Chagua Mbowe; uvune mauti na...
  4. ngara23

    Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  5. chizcom

    Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  6. M

    Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  7. L

    Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya ya Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe ambaye ametangulia mbele za haki. Soma TANZIA -...
  8. The patriot man

    Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  9. Poor Brain

    Nimenusurika kufa jana

    Wakuu wasalam.. Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana. Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja. Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine. Huyu...
  10. LIKUD

    Ya Erick Kabendera, kifo cha Ben Saanane na kisa cha mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda

    Palikuwa na mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda. Siku moja mfalme alimuita kinyozi amnyoe nywele zake lakini asitoe siri kwa atakacho kiona. Kinyozi alipo mnyoa mfalme akaona mfalme ana masikio marefu kama ya punda. Kinyozi alijizuia sana asicheke wakati anamnyoa mfalme. Na alipo fika...
  11. E

    Eric Kabendera acha kudanganya umma, ukweli wa kifo cha Ben Saanane uko kwenye huu uzi

    Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika ni low IQ people ndio wataamini hiki ulichoandika
  12. Mtoa Taarifa

    Zimbabwe yafuta rasmi Hukumu ya Kifo baada ya kutotekelezwa kwa miaka 19

    Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo. Shirika la Amnesty International limepongeza hatua hiyo na kuielezea kama hatua muhimu katika juhudi za kimataifa...
  13. G

    Ingia 2025 ukifahamu kifo ni zawadi na kuzaliwa ni zawadi. Ishi kwa misingi Bora kulingana na jamii .

    Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi, Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana, Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani kila kiumbe kinachozaliwa mwishowe hufa, La of nature inatakiwa ikuongoze katika maisha yako ...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mwaka huu nilipangiwa kifo, sikufa, akafa mshikaji wangu.

    Kuna Dada mmoja tulikuwa tukifanya naye KAZI kwenye mamlaka moja ya serikali, bahati mzuri au mbaya akahamishiwa Dodoma, hivyo kituo chake cha KAZI kiko huko. Mwaka Jana mwishoni tukiwa kwenye maandalizi ya sherehe za mwaka mpya (ambao ni huu, 2024) akanialika niende kwenye kanisa Lao lililopo...
  15. Z

    Kifo cha Jaji Kwariko cha muumiza Rais Samia.

    Hakika Jaji Asha Kwariko alikuwa ni Jaji wa kipekee mfano mzuri wa kuingwa na Majaji wengine walio hai, vyeo ni dhamana tu, ukifa ndio mwisho wako tenda haki. Jaji Kwariko alikuwa ni mtenda haki wa kweli ndani na nje ya Mahakama asiye penda kuonea watu. Mpole na mwenye kujali utu wa binaadamu...
  16. Yoda

    Kama kifo ni mapenzi ya Mungu kwa nini mabilionea wanaishi muda mrefu?

    Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi zaidi mapema na wengi huishi muda mrefu hadi kuzeeka tofauti na masikini? Ni nadra sana kusikia...
  17. Mtoa Taarifa

    Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  18. Waufukweni

    Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  19. kante mp2025

    NAKICHUKIA SANA KIFO😭

    Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute...
  20. Mshana Jr

    Gharama za kumiliki kifo

    Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote. Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na kuwafanya wendawazimu kabisa! Hata wewe ukizipata utawehuka hasa zikishakuwa nyingi na ziada kwa ajili...
Back
Top Bottom