Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila...
Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema
Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa au ni sehemu ya uzushi wa “mashine ya propaganda” ya vyama vya upinzani hasa Chadema.
Leo utata...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada ukitoa maziko, unashangaa mwanga huoooo, unaskia sauti "Shiuuuuu", kuangaza kwa umakini huyoooooo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu.
Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
I will short
Yanga previously anticipated a tough group to disappoint one of the favorites to win the CAFCL.
They wanted sundowns, to enhance it's presence and superiority in the cup. But as draw came out.
Yanga was nicked out with teams with almost the same level of financial power.
The...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate
Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1
Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1
Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi;
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
Kumekuwa na tabia za watu kujiona wanategemewa sana. Watu hawa hawafanyi maendeleo yeyote wala kujijali wao kila siku ni kutunza wenzao na kubaiki meza kwa kujaza bia, wanapaswa kujua, hata wakifa leo hao wategemezi wataishi.
Mtu anakwambai mtoto wa mama mdogo, shangazi, babu, sijui rafiki...
Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili”
Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea.
Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa hilo la kiyahudi.
Muda mfupi tu baada ya kutolewa uthibitisho wa kifo cha kiongozi huyo kombora zito...
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake.
Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo.
Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.