Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo...
Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu.
Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO na MIZANIA YA UHAI NA KIFO.
Ghafla ikatokea kuyumba kwa mizania ambapo KIFO nguvu yake ikazidi ile...
kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo.
mtazame kwa mjibu wa millardayo
https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera.
Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake.
Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus.
Amin.
https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
Eti Wadau,
Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako
Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali
Utafungua????🤣🤣🤣🤣🤣
My take: Mie nitafungua jamani, I'm such a curious being. Nitafungua ili nijue lini naacha kazi nianze kula mafao yangu😭
Zile report...
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria.
Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuivaa kesi hii matata kwakuwa ubalozi wa Ghana, familia ya wahanga pamoja na...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
Habari ZENU,
Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one.
Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
Habari wana JF,
Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana.
Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
Ugumu wa maisha unasababishwa na baadhi ya vijana ambao wameamua kuwa ronyaronya. Vijana wanakuwa machawa. Hawana uwezo wa kufikiri kufanya masuala ya msingi. Vijana aliyosema Mwl Nyerere wako wapi sasa hivi?
Hili ni janga kubwa la taifa. Tutakosa watu wa kufanya maamuzi ndani ya nchi yetu.
ILIANZA nikiwatembelea wazazi na mjomba wangu wazee huko Jacksonville, Florida. Hii ilikuwa muda mfupi kabla ya mjomba wangu kufariki miezi michache iliyopita. Kama kawaida, tulienda kwenye Ibada ya Mashahidi wa Yehova siku ya Jumapili na kusikiliza hotuba iliyotolewa yenye Kichwa “Je...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara yake iko kwenye mkakati wa kurejesha katika hadhi muziki wa Dansi kwa kuwa muziki huo umewahi kutumika hata kwenye ukombozi.
Amesema muziki wa Dansi umeshuka kutokana na masoko, ambapo amesisitiza kufufuliwa kwa muziki huo...
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea.
Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka.
Alikuwa na jeshi...
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga.
Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.
Mambo hivi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.