kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. LIKUD

    Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

    Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled" This was me today after I learned about the passing away of this great man. Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote...
  2. Uwesutanzania

    Kifo huwakuta wazee tu, wengine hukutwa na msiba

    Naam! Kifo hutokea ni kwa wazee tu wazee ambao wameshakula chumvi nyingi. Hapa nawazungumzia wenye umri wa miaka 98 nakuendelea. Wazee ambao watoto wao wote wameshakuwa watu wazima na wengine wamekuwa wazee wenzao. Wazee mchango wao katika jamii umeshakuwa mdogo. Wazee ambao hauwezi...
  3. Last Philosopher

    Kifo cha Shetani ndani yetu

    Mara zote kwenye maisha yetu tumekuwa na dhana ya kusema sijafanya kitu kwa matakwa yangu nimepitiwa au nime shawishiwa na shetani. Neno hilo limetukaa sana akilini na kutufanya kuna muda kujitoa kwenye wajibu wa tulichokitenda na kujutia kujiona hatuja kamilika kuwa wema ndani yetu. Embu...
  4. mchawi wa kusini

    Kifo cha Adolf Hitler

    Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi. KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945: Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi ya Austria,mwanasiasa mjerumani na chansela dikteta aliyetawala Ujerumani kwanzia mwaka 1933 hadi...
  5. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  6. D

    Hili linatatulikaje; Baada ya kifo cha mmewe mama kama mrithi anauza ovyo mali pasipo kushirikisha watoto

    Habari wadau! Ukitaka kujua tabia nzuri au ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja! Jambo kama hili huwa linatatulikaje? Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na wadogo wanaohitaji uangalizi au usimamizi! Mama kuanza kuuza mali, viwanja, mashamba kimya kimya pasipo...
  7. I am Groot

    SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

    Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua? 🤕Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana...
  8. peno hasegawa

    Serikali iunde Tume huru ya kuchunguza kifo cha Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G

    Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe Wala wasishiriki. Pili kijana huyo asizikwe hadi uchunguzi utakapo malizika.
  9. Litro

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha. Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana. Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa...
  10. J

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti...
  11. Influenza

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  12. mdukuzi

    Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  13. Yoda

    Sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine ilikuwa ya kiserikali au familia?

    Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali? Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
  14. Richard

    Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  15. R

    Hii ni miaka 40 ya kumbukizi ya kifo cha Sokoine au ni kumbukizi ya miaka 40 ya usaliti na kujipendekeza?

    Ni jambo gani lililofanyika Monduli linaloashiria kulikuwepo na viongozi wa Kitaifa wanaomuenzi Mhe. Sokoine? Nani amesimama kuzungumzia Sokoine kama ambavyo tunashuhudia ikifanyika kwa mwalimu Nyerere? Kwanini kuanzia viongozi wa dini hadi wanasiasa wanamtisha Mhe. Rais kwa kuonyesha anao...
  16. Mohamed Said

    Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Sokoine

    Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na akifahamika Masaini kote na alitajirika katika biashara. Mali hii aliitumia bila choyo wala khiyana...
  17. Mjanja M1

    Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  18. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  19. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  20. JanguKamaJangu

    ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
Back
Top Bottom