Nani hao; akina Jessica Magufuli?
Sijui kama atakusikia wewe na hizo pole zako kwake wakati ubunge aliopewa na Samia Mhalifu ukiwa umenoga!
Kama hiyo pole unawapa waTanzania walioweka matumaini kwake kuwa taifa hili litainuka na kuwa taifa la heshima; tazama sasa tulipofikia.
Sitaki kumlaumu kwa kila uchafu unaoonekana leo; lakini vimelea vya baadhi ya uovu huo vimeanzia kwake; na hawa wahalifu ni kama walianza mafunzo tokea enzi zake.
Nilipenda mengi aliyotangaza kuyapigania Tanzania. Sikupenda njia zake nyingi alizotumia kutaka kuyatimiza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.