Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?

Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.

Pia kuna swali lingine linanitatiza…

Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.

Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.

Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo

Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?

Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝

My name ShesRise_1 🔥
 
umejiuliza swali ka kifalsafa sana
 
Kifo ni upgrade, ili kitu kipya kizaliwe lazima cha zamani kife, mfano mti huota baada ya mbegu kufa na nyumba ikibomoka ujue itajengwa mpya kali zaidi na daraja likikatika linajengwa jingine imara zaidi hivyo kifo ni faida
 
Una hoja sana
Umesema kifo ni upgrade
Umesema kifo ni faida je ni faida kwenye msingi upi ni faida kwa mtu mwingine ili azaliwe ?

Au nifaida kwa dunia yenyewe kupata mkaazi mpya
Kwanini hua ni jinai mtu kujiua mwenyewe?
 
Mfumo wa maisha.. tunazaliwa tunaishi na tunakufa ili kuvipa nafasi viumbe vipya kuendelea

Maisha ni zawadi, na kifo ndyo huleta maana ya thamani ya maisha.
Maisha ni zawadi , na kifo ndio huleta maana ya thamani ya maisha. 👍

Swali langu kwanini huyo mtu akipewa hiyo zawadi na akaamua kuikataa hua nongwa yaan mtu akifanya jaribio la kujiua na akawahiwa hua anapewa adhabu na hata kufungwa !!

Kwani lazima kila zawadi ipokelewe??
 
Thibitisha hapa
Maneno kidogo let's go 🚶‍♂️
kila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho, ndio asili ya kila kitu.

kifo kinatokea pale ambapo mwili umeshindwa kufanya shuguli zake za kawaida ili kumaintain uhai kuna law inasema everything when left alone will go fom oder to disoder

lakini sheria inakataza kukatisha uhai kwabababu inalinda rasilimali watu kama inavyolina rasilimali nyingine

watu wanaogipa kifo kwabababu maranyingi kifo huambatana na maumivu, pia ki saikolojia hawajui wanapokwenda wanakua uncertain, lakini pia wanawaachaje wapendwa wao.

watu wengine huumia mtu akifa kwabababu ameondoka kati yao na hawana uwezo wa kuwa naye tena hivyo ni natural kuumia kihisia
 
Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.
Pia kuna swali lingine linanitatiza…
Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.
Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.
Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?
Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝

My name ShesRise_1 🔥
Fine girl 😁 story za kifo za nini teina
 
Una hoja sana
Umesema kifo ni upgrade
Umesema kifo ni faida je ni faida kwenye msingi upi ni faida kwa mtu mwingine ili azaliwe ?

Au nifaida kwa dunia yenyewe kupata mkaazi mpya
Kwanini hua ni jinai mtu kujiua mwenyewe?
Ukifa duniani unakuwa umezaliwa kwingine na ukifa huko kwingine unakuwa umezaliwa duniani
 
Kifo ni upgrade, ili kitu kipya kizaliwe lazima cha zamani kife, mfano mti huota baada ya mbegu kufa na nyumba ikibomoka ujue itajengwa mpya kali zaidi na daraja likikatika linajengwa jingine imara zaidi hivyo kifo ni faida
Vipi ukiambiwa upewe hiyo faida muda huu utakubali mkuu?

Kifo ni msiba, kifo ni hasara, kifo ni pengo, kifo hakina uzuri ni majonzi tu.
 
Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka

Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima

Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....

Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu

Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia

Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??

Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??

Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,

Nawaza

Nawaza

Nawaza

Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa

cc secretarybird Poor Brain
 
Maisha ni zawadi , na kifo ndio huleta maana ya thamani ya maisha. 👍

Swali langu kwanini huyo mtu akipewa hiyo zawadi na akaamua kuikataa hua nongwa yaan mtu akifanya jaribio la kujiua na akawahiwa hua anapewa adhabu na hata kufungwa !!

Kwani lazima kila zawadi ipokelewe??
Unapozaliwa unaingia kweny database ya nchi, na nchi ina sheria zake ambazo wewe kama raia utazifuata… ukitaka usifungwe ukijiua nenda uzaliwe kwa kina hadzabe 😂😂😂
Kule ndyo hadi muda huu bado sheria azijazama sawasawa
 
kila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho, ndio asili ya kila kitu.

kifo kinatokea pale ambapo mwili umeshindwa kufanya shuguli zake za kawaida ili kumaintain uhai kuna law inasema everything when left alone will go fom oder to disoder

lakini sheria inakataza kukatisha uhai kwabababu inalinda rasilimali watu kama inavyolina rasilimali nyingine

watu wanaogipa kifo kwabababu maranyingi kifo huambatana na maumivu, pia ki saikolojia hawajui wanapokwenda wanakua uncertain, lakini pia wanawaachaje wapendwa wao.

watu wengine huumia mtu akifa kwabababu ameondoka kati yao na hawana uwezo wa kuwa naye tena hivyo ni natural kuumia kihisia
Sawa sehemu kubwa umeeleza vizuri sana
Swali langu je kifo ni haki ya kila mtu?
Kama ni haki ya kila mtu kwanini
Inakua jinai mtu akitaka kufata haki yake kwa hiari yake mwenyewe

Inatakuje kama huyo mtu mkimlazimisha aishi duniani na hataki
Je akileta maafa kwa wengine ambao wao hawataki kifo kwa mda huo?
 
Back
Top Bottom