Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka

Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima

Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....

Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu

Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia

Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??

Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??

Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,

Nawaza

Nawaza

Nawaza

Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa

cc secretarybird Poor Brain
Kwani kabla hujazaliwa ilikuwaje mkuu. Hebu nipe experience.
 
Kuna haki mbili ambazo zinafuatana, haki ya kuishi, na hiyo haki ya kifo.

Ni kosa mtu kujiua/ kutaka kujiua kwa sababu anakuwa amejikatisha/ anataka kujikatisha haki yake ya kuishi.

Hii haki ya kuishi inakoma pale ambapo mtu anaweza kufa kwa magonjwa, ajali, au hata kufa usingizini bila marehemu kuumwa popote.

From there, ndipo tunaenda sasa kwenye maandiko matakatifu.

Marehemu amekufa akiwa katika hali gani kiroho, je, alijiandaa kulingana na maandiko yake matakatifu?

Kama alijiandaa, hapo ndipo unakutana na hilo andiko ulilotuwekea hapo la "heri wafao katika Kristu...."

Kumbuka, hapa pia wapo wale waliokufa kwa haki [kutimiza andiko - kila nafsi itaonja mauti] lakini hawakufuata mafundisho ya vitabu vyao vitakatifu.

So, katika muktadha wa kifo kiulimwengu, kufa lazima kuendane na sababu maalum nilizotaja pale juu, ujue hata kifo cha kuuwawa na wasiojulikana sio cha haki, ni kukatisha uhai wa mwingine.
 
Umeandika kwa hisia sana Bro
Hizo nukuu za Qur'an ni kali sana na zakutisha nadhani lengo ni kuku shape kitabia sijui 🤔 japo inaogopesha ona mpka sasa hujasahu Pole
 
Unapozaliwa unaingia kweny database ya nchi, na nchi ina sheria zake ambazo wewe kama raia utazifuata… ukitaka usifungwe ukijiua nenda uzaliwe kwa kina hadzabe 😂😂😂
Kule ndyo hadi muda huu bado sheria azijazama sawasawa
Mdada mzuri kwa mjibu wa Avatar na I'd name asante kwa mchango wako kipenzi 😉
Haya sasa huko kwa kina hadzabe nafikaje?
 
Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka

Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima

Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....

Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu

Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia

Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??

Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??

Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,

Nawaza

Nawaza

Nawaza

Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa

cc secretarybird Poor Brain
Ukifa unakuwa kama jiwe tu, halioni wala kusikia chochote.

Sioni sababu kwa nini uogope kifo, bali ogopa sababu ya kifo chako, isiwe ugonjwa wa muda mrefu wenye maumivu makali, japo hii itakupa pia nafasi ya kumrudiq muumba wako kabla uhai kukutoka.
 
Kuna haki mbili ambazo zinafuatana, haki ya kuishi, na hiyo haki ya kifo.

Ni kosa mtu kujiua/ kutaka kujiua kwa sababu anakuwa amejikatisha/ anataka kujikatisha haki yake ya kuishi.

Hii haki ya kuishi inakoma pale ambapo mtu anaweza kufa kwa magonjwa, ajali, au hata kufa usingizini bila marehemu kuumwa popote.

From there, ndipo tunaenda sasa kwenye maandiko matakatifu.

Marehemu amekufa akiwa katika hali gani kiroho, je, alijiandaa kulingana na maandiko yake matakatifu?

Kama alijiandaa, hapo ndipo unakutana na hilo andiko ulilotuwekea hapo la "heri wafao katika Kristu...."

Kumbuka, hapa pia wapo wale waliokufa kwa haki [kutimiza andiko - kila nafsi itaonja mauti] lakini hawakufuata mafundisho ya vitabu vyao vitakatifu.

So, katika muktadha wa kifo kiulimwengu, kufa lazima kuendane na sababu maalum nilizotaja pale juu, ujue hata kifo cha kuuwawa na wasiojulikana sio cha haki, ni kukatisha uhai wa mwingine.
Je mtu hana haki ya kuchagua haki moja kati ya hizo haki pacha KIFO&KUISHI
Imagine mtu ameteseka kwa maradhi mda mlefu tena anaishi kwa maumivu mfano sijui cancer kupooza mtu hawezi hata kujisogeza na Nk...

Huyu mtu akichagua kifo kwanini asikubariwe?
 
Hiyo haki ya kujitoa uhai hapa kwetu Tanzania haipo, lakini ipo Marekani kwa baadhi ya majimbo, hasa ikithibitika kitaalamu mgonjwa anateseka na ugonjwa wake hauna tiba mfano cancer.

Kwa hapa kwetu, ni uvumilie tu maumivu mpaka pale muumba atakapoamua kuchukua uhai wako.
 
Hapa kwetu ni uvumilietu maumivu 😢
Aisee
 
Back
Top Bottom