ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #141
OvaNa mwanadam alivyokuwa jeuri angeishi milele
Duniani kusingekalika
Kifo ndiyo kiboko ya mwanadam
Ova
OvaNa mwanadam alivyokuwa jeuri angeishi milele
Duniani kusingekalika
Kifo ndiyo kiboko ya mwanadam
Ova
Sema hata kidogo tuHapa kwene kifo acha tu nisiseme kitu maana akili yangu naijua mwenyewe
Hivyo vitu unavyotaja kuwa vinasababisha kifo(magonjwa,ajali) wapo watu huvipitia na hawafi wanapona, lakini bado watu wanaona kifo ni lazima tu.Kila binadamu aliyekufa, lazima kuna sababu/kitu kilichosababisha afe.
Kwa maana hii hakuna mtu aliyetokea akafa tu, yaan paap! Awe amekufa hiyo haipo.
Sasa kuanzia sasa nikiamua nijitunze na nijilinde, hasa afya yangu. Yaani niwe napima afya yangu kila siku, na kujilinda/kujiepusha na mambo/vitu vinavyosababisha kukatisha uhai wa binadamu(kifo) kama magonjwa,ajali na n.k "NITAKUFA KWELI?".
Kwa sababu wenyewe wanaamini kifo ni lazima tu.Naona kifo kimeshindwa kuzuilika aisee
Wana sayansi huenda wangefanya kitu hua naona wanatoa miongozo ya namna yakuzuia kifo cha mapema ikiwemo kuepuka mtindo mbaya wa maisha
Lakini si kuzuia kifo kabisa
Kifo kizuri sana , kwa umri wangu nimezunguka sana ila sijaona kipya ..Mimi sio wale washangaa maghorofa huku dubai au kushangaa maroboti ya AI ..Nimefanya utafiti ila sijaona kipya duniani kama vyote nimeliza .Wewe huogopi
Kwa kifupi ni kuwa
1. Makazi ya Asili ya binadam yalikuwa Mbinguni
2. Baada ya Binadam kumkosea Mungu, aka amua kuwaleta kwenye Chumba cha mtiihani (Duniani)
3. Kwa hiyo maisha yatu yote hapa duniani tupo kwenye chumba cha mtihani (tunayoyatenda sirini na hadharani yote yanarekodiwa)
4. Mtu atakapo kamilisha mtihani wake hufa (hurudishwa kwa aliyetoa mtihani kwa ajili ya matokeo).
5. Ukijiua/ukia mtu maana yake umemnyima haki ya kukamilisha mtihani na matokeo yake yaweza kuwa maovu na kupelekea kupata adhabu kali sana
6. Watu wanaogopa kufa kwa sababu ya matendo yao hapa duniani ambayo kwa namna moja au nyingine wanaona kabisa sio ya kuridhisha hivyo wamefeli mtihani....(Fikiria makosa makubwa kama, kupindisha sheria, kuchukua mali ya yatima, kuchukua mali ya masikini na kujilimbikizia, Ushirikina/Kologa au kutumia fedha kudhuru wengine kwa namna yoyote ile, nk nk nk
7. Mungu yupo na anasubiri kuwapa haki yao wale walionyimwa hapa Duniani na kuteswa bila sababu......
ShukranKwa kifupi ni kuwa

Kufa ni kupmzika 👍Conclusion : Dunia ni mfumo wa kitumwa kati ya matajiri na maskini , duniani hakuna usawa . Kufa ni kupumzika baada ya heka heka za duniani .
Ndio ,Kufa ni kupmzika 👍
Wewe unaamini katika dini?
Ukiwa na dhambi ukifa unapmzika? Au kibano kinaendeleaNdio ,
Ukiona mtu ana dhambi basi ni mjinga , ishi na watu vizuri wala sUkiwa na dhambi ukifa unapmzika? Au kibano kinaendelea
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua? Jiuwe halafu ukiingia Kaburini ndio utajua hujuw maana ya Katazo kwa Vitendo😀😀😛Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.
Pia kuna swali lingine linanitatiza…
Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.
Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.
Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?
Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝
My name ShesRise_1 🔥
Ili kudhibiti rate ya vifo isizidi rate ya kuzaliwaUna hoja sana
Umesema kifo ni upgrade
Umesema kifo ni faida je ni faida kwenye msingi upi ni faida kwa mtu mwingine ili azaliwe ?
Au nifaida kwa dunia yenyewe kupata mkaazi mpya
Kwanini hua ni jinai mtu kujiua mwenyewe?
Una hoja👍Ili kudhibiti rate ya vifo isizidi rate ya kuzaliwa
HakunaaaKama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua? Jiuwe halafu ukiingia Kaburini ndio utajua hujuw maana ya Katazo kwa Vitendo😀😀😛