ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #101
Hatari sana aiseeNilisikia japo sikuifuatilia sana.
Hivi huyo mzungu kwenye avatar Vip😁
Hatari sana aiseeNilisikia japo sikuifuatilia sana.
Bwana Yesu asifiwe mtumishiwewe siyo mali yako ni mali ya muumbaji wako ,mwili wako na uhai wako ni unamilikiwa na aliyekuumba(na vyote ulivyonavyo dunia na ulimwengu mzima na wote waka ao ndaani yake).
Kiserikali pia wewe ni mali ya serikali hata mtoto wako kwa maana haki zako kama kama mwanadamu,
UNA HAKI YA KUISHI.."human rights "" haki za binadamu
vuombo vinavyosimamia HAKI za mwanadamu ,hakuna haki ya kufa au haki ya kuua au haki ya kujiua ..ni kinyume chake..hali iliyopo ni ya kuishi SIYO HAKI YA KUFA AU KUUA.
Mwili hufa kwa viumbe hai vyote kwa namna na sababu mbalimbali,kadiri ya wakati wake kwa kila kiumbe.Hii ni hakika kwa viumbe hai wote kisayansi na hata kidini.
ROHO iliyomo ndani ya mwili na Nafsi/fahamu/akili/kimbukumbu
hazifi...ROHO haifi.
baada ya kufa Roho inaacha mwili inatoka inaenda katika moja wapo ya destiny hizi mbili kadiri ya matendo yako kipindi ungali ulipokuwa hai duniani kabla ya kufa.
kamaa ulikuwa mwenye dhambi...unaenda kuzimu ya mateso,ukisubiri jehanamu ya moto siku ya hukumu
kama ilikuwa mtakatifu utaenda mbinguni.
KUJIUA mwenyewe ni kuvunja sheria kuvunja haki yako mwenyewe ya kuishi,na kuvunja amri ya muumbaji wako,angekuwa hakutaka uje uishi duniani asingekuleta uje ana makusdi ya kukuleta uishi duniani aliyekuumba ,kadhalika kuua mtu mwingine pia ni kosa kisheria na ni dhambi,..kila mwanadamu ana haki ya kuishi...na ana makusudi ya kutimiza hapa duniani..wewe ni wa thamani mbele za muumbaji wako.
Ukiona unapata mawazo ya kujiua tafufuta msaada wa kisaikolojia ama kiroho shirikisha na usikar peke yako
SUICIDAL THOUGHTS si mawazo mazuri sana.
Wewe una uhakika gani kuzimu haipo?Una uhakika gani kuzimu ipo?
Wewe huogopiKifo ni jambo jema sana , wengi mnatishwa .
Wewe huwezi kuelewa haya mamboInasikitisha sana
Kwann mkuu 😎Wewe huwezi kuelewa haya mambo
kijana😁😁
Ina maana wanalia kinafki au 😁😁Mtu akifa, watu wanalia Ila akiamka kutoka kwenye mauti mnamkimbia 😂
Wewe kazi yako ni huko kwenye mpira 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kwann mkuu 😎
Mm Siwez kuelewa hayo mambo mana cjawah kufa 😎Wewe kazi yako ni huko kwenye mpira 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Sasa kama kweli wanalia kuonyesha upendo kwa aliyekufa, Kwann akifufuka wakimbie?Ina maana wanalia kinafki au 😁😁
Hivi wewe ukiwa kwenye mazingira hayo hukimbii
Haya sawaMm Siwez kuelewa hayo mambo mana cjawah kufa 😎
Kifo sio kitu special kiasi hicho. Ni mwisho wa maisha ya kiumbe chochoteKifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.
Pia kuna swali lingine linanitatiza…
Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.
Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.
Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?
Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝
My name ShesRise_1 🔥