ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
Sasa mimi na wewe tunaenda je na hatuna ugonjwa sugu 😁😁mi niko fit vp wewe tayali tia maji tia maji🏃♂️Sawa mjukuu, ila zipo nchi ambazo unaweza kumalizana mwenyewe in case umeumwa ugonjwa ambao haufi wala hauponi. Serikali inakupa kibali ili ufe uondokane na tabu za hii dunia.
Unataka twende?