Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 947
- 2,669
😁😁 mlimani citySamaki samaki ya masaki au mlimani city hebu nyooka ni Bolt😀
😁😁 mlimani citySamaki samaki ya masaki au mlimani city hebu nyooka ni Bolt😀
Sawaa😁😁 mlimani city
usichelewe panda dronwSawaa
Sijui hata ilikuwa vipi sasa ni huo moto ndo nauwazaKwani kabla hujazaliwa ilikuwaje mkuu. Hebu nipe experience.
Itakuwa lama enzi zile kabla hujaja duniani.Sijui hata ilikuwa vipi sasa ni huo moto ndo nauwaza
Hv dg uko wapItakuwa lama enzi zile kabla hujaja duniani.
Hahaha 😂.Hv dg uko wap
Haukuchangia uzi wowote kabla haujazaliwa, hautachangia uzi wowote baada ya kufa.Nikisha kufa nitarudi kuchangia huu uzi coz nitakua nimepata jibu la uhakika zaidi.
Ni ngumu kupata jibu la mambo ya kuzimu,labda mtu afe kwanza halafu afufuke kisha arudi kuchangia uzi,Haukuchangia uzi wowote kabla haujazaliwa, hautachangia uzi wowote baada ya kufa.
Adhabu huwa ni kama njia ya kukulinda dhidi ya maamuzi unayoweza kuchukua tena kama utaachwa huru.Maisha ni zawadi , na kifo ndio huleta maana ya thamani ya maisha. 👍
Swali langu kwanini huyo mtu akipewa hiyo zawadi na akaamua kuikataa hua nongwa yaan mtu akifanya jaribio la kujiua na akawahiwa hua anapewa adhabu na hata kufungwa !!
Una uhakika gani kuzimu ipo?Ni ngumu kupata jibu la mambo ya kuzimu,labda mtu afe kwanza halafu afufuke kisha arudi kuchangia uzi,
Ndio nilimaanisha hivyo.
kifo ni lazima kwa kila moja, ila uhai ni haki kila moja ana wajibu wa kutunza uhai wake na wa mwenzakeSawa sehemu kubwa umeeleza vizuri sana
Swali langu je kifo ni haki ya kila mtu?
Kama ni haki ya kila mtu kwanini
Inakua jinai mtu akitaka kufata haki yake kwa hiari yake mwenyewe
Inatakuje kama huyo mtu mkimlazimisha aishi duniani na hataki
Je akileta maafa kwa wengine ambao wao hawataki kifo kwa mda huo?
Asante sanakifo ni lazima kwa kila moja, ila uhai ni haki kila moja ana wajibu wa kutunza uhai wake na wa mwenzake
Asante kaka 🙏Adhabu huwa ni kama njia ya kukulinda dhidi ya maamuzi unayoweza kuchukua tena kama utaachwa huru.
Bora hata mimi nitakaechukuliwa na muhas km cadavers sitajua kitu, watanitawanya wee😄😄😄Sijui hata ilikuwa vipi sasa ni huo moto ndo nauwaza
Umeongea vizuri kwa nyanja zote kidini ki sayansi na ki jadi pia umeelewekaKifo ni kukoma kabisa kwa kazi zote muhimu za mwili wa kiumbe hai.
Kwa mtazamo wa kibaiolojia:
1. Kifo cha kliniki - Moyo unasimama kupiga na mapafu yanaacha kupumua. Wakati mwingine hii inaweza kurudishwa kwa CPR.
2. Kifo cha ubongo - Ubongo unaacha kufanya kazi kabisa na haiwezi kurudi tena. Ndiyo hasa hutumika kisheria kama kifo cha mtu.
3. Kifo cha seli - Seli za mwili zinaacha kufanya kazi moja baada ya nyingine, mpaka mwili wote unaharibika.
Kwa mtazamo wa kijamii na kifalsafa:
Ni mwisho wa maisha ya mtu duniani. Tamaduni na dini mbalimbali zinaelewa kifo tofauti:
- Uislamu: Kifo ni mpito kutoka dunia kwenda akhera. Roho inarudi kwa Mwenyezi Mungu.
- Ukristo: Kifo ni kutengana kwa roho na mwili. Kuna imani ya ufufuo na uzima wa milele.
- Dini za jadi: Mara nyingi kifo huonwa kama safari ya kuelekea kwa wazee/wahenga.
- Mtazamo wa kisayansi: Ni mchakato wa asili ambapo mwili unarudi kuwa sehemu ya mzunguko wa viumbe hai.
Kwa lugha rahisi:
Kifo ni wakati mwili unapoacha kufanya kazi kabisa - haujisikii, haupumui, moyo haupigi, na ubongo haufikiri tena. Ni sehemu ya mzunguko wa maisha kwa kila kiumbe hai.
Hivi kumbe ni wewe unataka kufanywa cadavers nina rafiki yangu yupo Mhas nikuunge nae 😀Bora hata mimi nitakaechukuliwa na muhas km cadavers sitajua kitu, watanitawanya wee😄😄😄