chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
nimegundua kitu kimoja kwako, una curiosity ya kipekee ya kujua vitu ambavyo ni fundamental hicho ni kitu kizuri pia una self reflectionAsante sana
nimegundua kitu kimoja kwako, una curiosity ya kipekee ya kujua vitu ambavyo ni fundamental hicho ni kitu kizuri pia una self reflectionAsante sana
Tayari nakarbia kumaliza mchakato😄😄Hivi kumbe ni wewe unataka kufanywa cadava nina rafiki yangu yupo Mhsas nikuunge nae 😀
Umewahi kujiuliza jua kuzama ni haki yake au ni mfumo wa asili ambao jua halina mamlaka nao?Sawa sehemu kubwa umeeleza vizuri sana
Swali langu je kifo ni haki ya kila mtu?
Kama ni haki ya kila mtu kwanini
Inakua jinai mtu akitaka kufata haki yake kwa hiari yake mwenyewe
Inatakuje kama huyo mtu mkimlazimisha aishi duniani na hataki
Je akileta maafa kwa wengine ambao wao hawataki kifo kwa mda huo?
Saafi muhimu huvunji sheriaTayari nakarbia kumaliza mchakato😄😄
Sanaa ya kifo | Page 23 | JamiiForums Sanaa ya kifoKifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.
Pia kuna swali lingine linanitatiza…
Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.
Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.
Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?
Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝
My name ShesRise_1 🔥
Thread 'Watu huona nini wanapokaribia kufa?' Watu huona nini wanapokaribia kufa?Unaogopa kufa 😀
Nikusanue kifo ni haki yako
Stay tuned 😉
Napenda kujifunza maana sikusoma sana darasa la 7 kama mboso but I really love learning and improving myselfnimegundua kitu kimoja kwako, una curiosity ya kipekee ya kujua vitu ambavyo ni fundamental hicho ni kitu kizuri pia una self reflection
Asante nitaipitiaThread 'Watu huona nini wanapokaribia kufa?' Watu huona nini wanapokaribia kufa?
Shukran 🙏Sanaa ya kifo | Page 23 | JamiiForums Sanaa ya kifo
Hii umesema kwa msisitizo asante sana 🙏🙏Umewahi kujiuliza jua kuzama ni haki yake au ni mfumo wa asili ambao jua halina mamlaka nao?
Kisheria kujiua ni kufanya shambulizi dhidi ya binadamu ambaye ni wewe, serikali ina wajibu wa kulinda uhai wako hata kama adui wa uhai huo ni wewe mwenyewe.
Hii ndiyo sababu kwa nini utakamatwa endapo utajaribu kufanya jaribio hilo.
Shukrani, tuko pamoja 🙏🏽Hii umesema kwa msisitizo asante sana 🙏🙏
Umemwaga madini mkuu🔥🔥According to the Law of conversation of energy and matter.
Mtu haufi tottally,
Unakufa Ufahamu, Kumbukumbu na Utambulisho wako (Consciousness, memories and Identity).
Ila matter and energy yako inabadilika kwenda kwenye form nyingine.
Kiumbe kinapokufa, vitu vya mwili wake havipotei mfano Hydrogen, Oxygen, Calcum, nk.
Ila vinasambaa katika mazingira uliyozikwa.
Bakteria wanavunja vunja tishu za mwili, kisha elementi za mwili wako zote zinarudi tena kwenye udongo, hewa, na maji.
Mimea itazichukua hizo elementi kutoka kwenye udongo, Wanyama watakula tena mimea hiyo, Hivyo, atomu zile zile zinaingia tena katika viumbe vingine vilivyo hai.
Hicho ndicho hutokea baada ya kifo, Zaidi ya hapo ni myth tu ambazo hazina uthibitisho wa kisayansi kwa maana hakuna aliyewahi kufa kisha akarudi kusimulia.
Hii mbona ina ukakasi 😀Kuna familia huwa zina wazazi wanasema wamechanjwa dawa hawafi pamoja na kuwa kitandani mpaka mwili unaooza lakini wapo tu mpaka mgangue ndio anakufa
Babu umeandika kwa ukubwa sana chukua 🌹🌹Mada nzuri sana kuhusu kufa na kifo.
We're born to die hivyo destiny ya kila kilichozaliwa ni kufa.
Once we're born, sisi sio mali yetu, we have no control of when and how death will approach us, so hakuna haki ya kujiua maana wewe sio mali yako, you belong to the nation. Iangalie kwa angle ya mtoto wako, unazagamua, unazaa, baada tu ya kuzaa sio mali yako tena, you can't kill or harm the newborn, ukijaribu tu unafungwa.
Lastly, life after death, adhabu za kaburi, kufufuliwa na porojo zote hizo ni ahueni tu tunapeana ila once the breathe leaveth your body, its done and dusted. You pave a way for other creatures to take over.
Sawa mjukuu, ila zipo nchi ambazo unaweza kumalizana mwenyewe in case umeumwa ugonjwa ambao haufi wala hauponi. Serikali inakupa kibali ili ufe uondokane na tabu za hii dunia.Babu umeandika kwa ukubwa sana chukua 🌹🌹
Achana na kwamba "KIFO NI KIFO TU"Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?