Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 3,258
- 6,504
Mwili ni vazi tu mkuu la roho , i mean you! Sasa hizo nguo ulizovaa ukizivua ukazifukia kuna kitu utaumia ?Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka
Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima
Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....
Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu
Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia
Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??
Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??
Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,
Nawaza
Nawaza
Nawaza
Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa
cc secretarybird Poor Brain