kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Suley2019

    Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  2. Roving Journalist

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  4. W

    Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya

    Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza kusambaa Jijini Arusha zikieleza kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Migodi ya Madini ya...
  5. T

    Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  6. B

    Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  7. comte

    Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

    Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini; Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya; Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja; Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya...
  8. chiembe

    Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

    Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
  9. Dr am 4 real PhD

    Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
  10. Miss Zomboko

    Serikali ya DRC yataka kurejesha adhabu ya kifo kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23, kulingana na ripoti ya baraza la mawaziri. Hukumu za kifo hutolewa mara kwa mara na mahakama nchini...
  11. Sir John Roberts

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  12. Mjanja M1

    Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa. Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha...
  13. S

    Je, CHADEMA wataahirisha maandamano kufuatia kifo cha Edward Lowassa?

    Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
  14. BARD AI

    Kifo cha Lowassa kuombolezwa kwa Siku 5 kuanzia leo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza siku tano za maombolezo kuanzia leo February 10,2024 kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) ambaye amefariki Dunia saa nane mchana leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam...
  15. BARD AI

    Wabunge wa Zimbabwe waunga mkono kufutwa kwa adhabu ya Kifo nchini humo

    ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa hukumu za Kifo. Waziri huyo amesema uamuzi huo unatokanana na Maoni ya Wananchi ambapo wengi...
  16. Determinantor

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
  17. ndege JOHN

    Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

    Hakuna ajuaye atakufa lini na wapi ila kwa lifestyle lako na Mazingira ya kazi unajionaje vyanzo gani unahisi huenda vikakusababishia umauti.Mimi kuna homa ya matonses,ini au figo,kupigwa shoti ya umeme au gas kulipuka hivyo vitu vinanitia wasiwasi sana na niko navyo makini kinyama.
  18. Mjanja M1

    Video: Traffic akoswa na kifo Barabarani

    Ofisa wa usalama barabarani nchini Marekani amenusurika kufa kwenye ajali wakati akiwa kwenye majukumu yake mji wa Oklahoma. Traffic huyo anaonekana akizungumza na dereva wa gari aliyoisimamisha, na ghafla gari nyingine inatokea na kuigonga ile iliyosimama. ANGALIA VIDEO HAPA Written by...
  19. R

    Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

    Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia. Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa...
  20. MamaSamia2025

    Ifike sehemu Lema ajue kifo ni cha kila mtu. Aache kutishia watu vifo

    Ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kikuu cha watoa taarifa, CHADEMA, kukosa hoja na kutumia neno KIFO kutishia watu walio kinyume na itikadi yake. Huyu akishika dola si ataua watu wengi sana? Hakika kiongozi kama Lema ni hatari sana kwa usalama wa raia. Yaani ukiwa naye tofauti lazima akuambie...
Back
Top Bottom