Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Starcare ya nchini India wakifanya upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation...
Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia misuli ya moyo kupokea oksijeni ya kutosha (myocardial ischaemia) mara nyingi maumivu yake huwa ni...
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol ...
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.
Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba.
Tatizo hili limeanza ukubwani japo sina historia ya kusumbuliwa na kifua. Na tatizo hili hutokea nikivuta...
Msaa nina mdogo wangu amabaye kwa muda sasa anasumbuliwa na maumivu kifuani na maumivu haya huja maraa baada ya kufanya mazoezi au muda mwingine huibuka tu.Tulijaribu kwenda hospitali moja alifanyiwa vipimo vya Moyo ikaonekana hana shida.Vipimo vivyo angaliwa ni ECG,bp pamoja na kiwango cha...
Wakuu,
Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha chanjo iligoma kufanya kazi au?
Hii ni kweli, au maneno tu ya mtaani? Maana sioni kabisa uhusiano...
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia.
Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali imeyaweka katika tahadhari ya chini na yasiyo hatari kwa afya ya jamii, huku uraiani hali si njema...
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
Mbunge wa Nzega na Waziri wa zamani, Hamis Kigwangalla amesema haoni tatizo kwa Wabunge kipita bila kupingwa kwa kuwa wapo Bungeni kihalali kabisa licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa hivi karibuni kueleza kuwa utaratibu huo uko kinyume na sheria.
Badge hidden video & sound recorder pia Kwa ma Biker kitu ni nzuri sanaaaa Ina magnetic 🧲 inakaa kokote hata kwenye shirt/t-shirt/coat video ni HD..... only for 300,000/=
Dsm
0718909429
Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa, amewataka Wananchi wa Jimbo la Igunga kutembea kifua mbele kwa kuwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejipambanua kushughulikia kero za Wananchi, kuimarisha huduma za jamii na kujenga uchumi jumuishi unaogusa maisha ya Watanzania...
Mchungaji mstaafu wa KKKT, Richard Hananja ameelezea kuwa kusimamishwa kwa Mch. Eliona Kimaro siyo tukio la kwanza ndani ya KKKT maana hata yeye aliwahi kusimamishwa mwaka mmoja kuhudumu kanisa la Kigogo bila kuambiwa kosa ni nini na bila kufuatwa utaratibu kwani wao ni waajiriwa na muajiri wao...
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi.
Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate...
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Mwanasheria: Hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.