Mods isomeke "mmeniuzia"
AZAM Tv wanatuibia wateja, nimekua nikinunua kifurushi cha Azam Tv kwa shiling 8,000/= kikiwa na chaneli muhimu kwangu, lakini kifurushi hicho kimepandishwa bei na kuwa shilingi 10,000/= hili si tatizo, tatizo ni pale wameondoa chaneli nyingi na kutuachia maganda...