Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake.
Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano.....
WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1
Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana.
Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu
Habari wakuu wa jf,
Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako.
Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA...
kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi Nape Nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika.
Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu...
Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo.
Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline.
Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
Ndugu wadau, wengi wamekuwa wakinishauri niwekeze akiba yangu UTT lakini hawanipi taarifa muhumu hasa kwenye gawio linalopatikana kwa vifurushi mbalimbali vya UTT. Ndo najiuliza kwa sasa June 2022, ni mfuko gani wa UTT unalipa gawio vizuri kuliko mwingune ,je ni liquid au bond au umoja? Bado...
Roho inaniuma sana hapa. Nimenunua GB 3 kwa 5,000 saa tatu na nusu asubuhi, cha Wik. Nimeunga hotspot, mara nyingi nafanya hivi na kwa siku natumia GB 1 hadi 2. Sasa leo hata saa haijaisha wanasema nimetumia 75%, zimebaki 731mb.
Nikasema labda kuna mtu anatumia Wifi yangu. nikachange...
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20
Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani
Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la.
Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk
Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu
Uzi tayari
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu.
Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa.
Je, mnachukua 3&4?
Kama kuna malipo watoto waingie semeni please.
Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?
Hii kampuni inaenda shimoni wallah
Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.