kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la Isis la nchini Iraq na Syria auwawa.

    Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa. Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
  2. I

    Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  3. Nchi zetu zifanye kama Israel kuyasambaratisha makundi ya kigaidi huku akimpiga na mfadhiri wa makundi hayo!

    Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
  4. Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  5. S

    Rais wa Mali aifananisha ECOWAS na kikundi cha kigaidi

    Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi. Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025 alipokuwa akiwahutubia viongozi wa kimila, kidini pamoja na wale wa asasi za kiraia. Jenerali Assimi...
  6. U

    Shambulizi la kigaidi kwa kutumia gari aina ya pickup new Orleans Marekani, 10 wauawa na 30 wajeruhiwa , muuaji akutwa amefariki

    Wadau hamjamboni nyote? Ni shambulizi la kigaidi huko new Orleans Marekani Dereva aua watu 10 na kujeruhi wengine 30 baada ya kuendesha gari kwa spidi kubwa na kuvamia umati mkubwa wa watu walisherehekea mwaka mpya Dereva huyo pia aliwapiga risasi polisi wawili na kuwajeruhi Taarifa kamili...
  7. M

    Trump alipomshutumu Obama na Hillary Clinton kuasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS

    Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria. Kauli hiyo ilinukuliwa na...
  8. Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
  9. Kinachowatesa Waarabu wa Kigaidi ni Waisrael kumiliki na ku-operate Satellites kwenye anga yote ya dunia

    Hakuna nchi yenye hakimiliki ya Satellite technology duniani isipokuwa Israel yaani hata leo Tanzania wakitaka kufunga sattelite kwenye anga yake ya taifa lazima aombe kibali kutoka Israel, Adui yako akikuweza kwenye technolojia ya mawasiliano umeisha mazima hicho ndicho kinachowatesa Waarabu...
  10. U

    Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  11. Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  12. U

    Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  13. Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  14. Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon Bwana Hossam Zaki baada ya kukutana na kiongozi huyo alifanya mahojiano na vyombo vya habari kikiwemo Alqahera cha Misri na kusema...
  15. Hivi vikundi vya kigaidi vinavyoanzishwa na Wamarekani tunaogopa kuvilaani kupitia Dini zetu?

    Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja. Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
  16. DOKEZO Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini nchini Msumbiji na kuiacha Tanzania na Rwanda dhidi ya kundi la kigaidi la Ansar al-Sunna kuna maana gani?

    Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa za Africa kusini zinazoshinikiza Africa kusini kutoa majeshi DRC pia kwene nchi nyingine kama...
  17. U

    Breaking Kiongozi Mkuu wa kigaidi auawa huko Rafah na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam Khamayseh alikuwa anasakwa na IDF Kwa muda mrefu kwa mauaji aliyofanya Mungu ibariki Israel IDF kills...
  18. I

    Mali yamuua kamanda wa kikundi cha kigaidi cha Isis aliyewaua askari wa Marekani mwaka 2017

    Wale ambao hupenda kusingizia kwamba vikundi vya kigaidi vya vinafadhiliwa na Marekani sijui watasema nini baada ya kusoma taarifa hii hapa chini 👇 ******************** Kamanda mkuu wa kundi la Islamic State anayesakwa kuhusiana na moja ya mashambulizi mabaya zaidi dhidi ya vikosi vya...
  19. U

    Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

    Wadau hamjamboni? Hatimaye siri zimetoka hadharani Ushahidi mpya umepatikana unaothibitisha kuwa Serikali ya Iran ndiyo mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas na hadi kufikia Oktoba 7, 2023 walikuwa wamewapatia magaidi hao shs 500.000.000.000 sawa na Dola million 222 Mungu ibariki Israel Taarifa...
  20. Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema kwamba walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa

    Wanaukumbi. MPYA: 🇷🇺🇺🇦 Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa - RIA Washtakiwa katika kesi ya shambulio la kigaidi huko Crocus walisema wakati wa mahojiano kwamba baada ya shambulio hilo walikuwa wakielekea Kiev kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…