kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ze kokuyo

    Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema. Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
  2. Mjanja M1

    Shambulio la Kigaidi Urusi vifo vyafikia 93

    Idadi ya Watu waliouawa kwenye shambulizi katika eneo la Crocus City Hall Nchini Urusi imefikia 93 huku majeruhi wakiwa ni zaidi ya 140. Shambulizi hilo la kigaidi ambalo Kikundi cha Kigaidi cha ISIS kimedai kuhusika nalo, limetokea usiku wa kuamkia leo ambapo Vijana walioficha sura zao...
  3. MK254

    Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........ Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead ISIS has claimed...
  4. Praise_ayoub

    X(Twitter) kujinufaisha na vikundi vya kigaidi vilivyopigwa marufuku, Je mpango huu utaleta madhara chanya?

    Kundi la kampeni limemshutumu X kwa kutoa alama za bluu kwa mashirika ya kigaidi ambayo yanapaswa kuwekewa vikwazo vya Marekani. Mradi wa Tech Transparency ulisema umetambua zaidi ya akaunti kumi na mbili za X za mashirika yaliyoidhinishwa na Marekani ambayo yamepewa alama ya kulipia, ambayo...
  5. JanguKamaJangu

    Waumini 15 wa Kanisa Katoliki Nchini Burkina Faso wauawa katika shambulio la kigaidi

    Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema. “Tunataka kuwafahamisha kuhusu shambulio la kigaidi ambalo lililenga jamii yetu ya kikatoliki katika kijiji...
  6. U

    News alerts: Jeshi imara la Israel lamuua Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha kigaidi cha Wapalestina cha slamic Jihad

    Hamjamboni nyote Taarifa kamili ipo hapo chini ya operesheni iliyofanywa na IDF huko Gaza. Kazi nzuri ya kusafisha magaidi inaendelea vizuri FRIDAY, JANUARY 19, 2024 IDF: Deputy head of Palestinian Islamic Jihad’s propaganda unit killed in Gaza airstrike The IDF and Shin Bet security...
  7. Mhaya

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  8. Mhaya

    Mamilioni ya Raia wa Yemen waandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la Houthi

    Katika mji mkuu unaodhibitiwa na kundi la kigaidi la Houthi unaojulikana kama Sana'a, mamilioni ya raia wa Yemen (Yemenis) wajitokeza kuandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la Houthi. Kundi la Houthi limeripotiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara katika Meli zinazopita katika...
  9. MK254

    Video: Msikiti wapigwa chini baada ya handaki la kigaidi kugunduliwa humo

    Badala ya watu kuabudu 'mungu' wao kazi ni maugaidi mpaka kwenye misikiti, karibu kila msikiti una handaki la kigaidi, inabidi ipigwe yote na kufanywa shamba..... The 55th Paratroopers Reserve Brigade soldiers have been fighting in Khan Yunis over the past few weeks. IDF troops dismantled the...
  10. MK254

    Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa

    Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa.... IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages., “We continue to deepen our operational activity at Shifa...
  11. Eli Cohen

    Viongozi wa Hamas na utajiri wao kutokana na ufadhili wa kigaidi

    Wananchi wao wanakufa na tabu huku pesa wakizifadhili zaidi katika kutimiza itikadi ya kigaidi na kuboresha maisha yao binafsi.
  12. Boss la DP World

    Nimepata Shambulio la Kigaidi la Kingono

    Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu. Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera. Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida...
  13. JanguKamaJangu

    Uingereza iko mbioni kutangaza Wagner kuwa ni shirika la kigaidi

    Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo. Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
  14. Replica

    Rais Samia: Uanaharakati, vikundi vya kigaidi na maandamano ni mfumo wa vurugu kuwasilisha sauti ya watu

    Rais Samia leo July 17, 2023 amefungua mkutano wa wadau wa demokrasia barani Afrika unaowahusisha viongozi wakuu wastaafu mjini Arusha. Sehemu ya hotuba yake ameongelea namna ambazo si nzuri katika kufikisha hisia za wananchi. Rais Samia: Kushindwa kwa Serikali kuhudumia mahitaji ya msingi...
  15. T

    Tishio la kigaidi Nchini: Wageni wote walioingia tangu juzi na jana wachunguzwe!

    Ni rai kwa wanausalama na kwa wapenda Amani wote! Tumekuwa na Amani na utulivu kwa muda kitambo sasa licha ya mazuwio ya kisiasa, lakini nchi yetu imekuwa na Amani na shwari Hivi majuzi mpendwa wetu na jemedari wa nchi yetu mh Rais Samia aliondoa zuio la kufanya mikutano ya kisiasa na ili...
  16. Afrocentric view

    Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

    Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo. Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli? Ijumaa Karim.
  17. I

    Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab auawa na majeshi ya Marekani nchini Somalia

    Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
  18. dudus

    Mashambulio ya Kigaidi ya 7 Agosti 1998 Katika Afrika ya Mashariki

    Leo, Agosti 7, 2022 ni miaka 24 tangu balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi ziliposhambuliwa na magaidi. Mastermind wengi wa matukio haya wameshapotezwa including Osama bin Laden (2011) na Ayman al-Zawahir (Julai 31, 2022). Tuwaswalie ndugu zetu waliopotezwa roho zao kwenye matukio haya ya...
  19. Lady Whistledown

    Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  20. beth

    Nigeria: Magenge ya uhalifu kutambulika kama makundi ya kigaidi

    Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama Ghasia zimekuwa zinaongezeka Nchini humo na kuweka shinikizo kwa Serikali ambayo tayari imekuwa ikipambana na Boko Haram...
Back
Top Bottom