kigali

Kigali (Kinyarwanda: [ci.ɡɑ́.ɾi]) is the capital and largest city of Rwanda. It is near the nation's geographic centre. The city has been Rwanda's economic, cultural, and transport hub since it became the capital following independence in 1962. The city hosts the main residence and offices of the President of Rwanda and government ministries. The city is within the province of Kigali City, which was enlarged in January 2006, as part of local government reorganisation in the country. Kigali's city limits cover the whole province; it is consolidated. The city's urban area covers about 70% of the municipal boundaries.

View More On Wikipedia.org
  1. Tango73

    Kigali ni uwanja wa nyumbani kwa Yanga kama ulivyo uwanja wa Majimaji

    Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano mzuri uliooneshwa kuwasajili Nionzima na Kagere. Halafu mbali na usajili huo kiswahili...
  2. GENTAMYCINE

    Hili Vibe la Wanaosafiri kwenda Pele Stadium Kigali Rwanda liwepo hata mkirejea Dar baada ya Kufungwa na Msudani

    Ndugu yangu Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima (Fabregas) kawajazeni Upepo ( Kawasifieni ) nanyi mlivyo Mapimbi na Maboya mmejaa na Kujiamini mkidhania Msudani ni Mjibuti mliyemuonea kwakuwa Kwao kuna Utapiamlo na Wachezaji wao Wote walikuwa na Njaa + huo Utapiamlo. Mwanamume ws Shoka ( Mumewe...
  3. Dr Matola PhD

    Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

    Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi kuhudhuria kwa wengi mechi hizo kwa kuwawekea utaratibu rafiki badala ya kuwageuza fursa ili kuwapiga...
  4. Heparin

    Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
  5. Yesu Anakuja

    Utofauti wa Rwanda na Tanzania

    kwa waliotembelea Kigali (though not the whole Rwanda), kuna kitu kikubwa sana nimejifunza toka kwao, ambacho muda unavyoendelea wanaweza kufikia level zile za nchi za ulaya kabisa kwenye suala la usafi. 1. Tanzania usafi wa mazingira tupo nyuma sana, wenzetu wameweka misingi iliyokwisha ingia...
  6. Fortilo

    Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

    Wakuu umofia kwenu, Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo. Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi. Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi? Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya...
  7. chiembe

    Nani alilipia gharama za Dkt. Slaa na Lipumba kuponda maraha Kigali mara baada ya kuisaliti UKAWA mwaka 2015?

    Mwaka 2015, uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Rwanda factor. Dk. Slaa na Lipumba, mara baada ya kuisaliti UKAWA, walipelekwa kwa ndege ya kukodi mpaka Kigali, wakawekwa kwenye hoteli ya kifahari sana na ulinzi mkali wakipewa Kila wanachotaka. Walikula maisha sana, baadae, Kila mmoja akapewa...
  8. Li ngunda ngali

    Jioni ya leo nilikuwa DP World hapa kigali Mnyarwadwa kanicheka sana

    " Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!" " Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"...
  9. FaizaFoxy

    Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

    Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾 Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.
  10. PakiJinja

    Kigali International Peace Marathon: Wabongo twendeni tukashiriki au tuandaeni mabango

    If you know wharra am saying. Maana huwa tunajitia umaajumui sana katika mambo tusiyoyajua.
  11. jMali

    UAE how dare you?

    Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power...
  12. B

    Singida Big Stars wawasili Kigali Rwanda

    03 September 2022 Kigali, Rwanda SINGIDA BIG STARS ARRIVES IN KIGALI TO TAKE ON RAYON SPORTS Klabu ya Singida Big Stars imewasili mjini Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki kufuatia mwaliko wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda. Bodi ya wakurugenzi ya timu ya Singida Big Stars imeishukuru...
  13. chizcom

    Rwanda husifiwa kuwa mji mzuri hapo Kigali ila hii sehemu hata siku moja hawatangazi

    Kwa mtu ambaye Rwanda hujafika na jinsi inavyotangazwa unaweza kusema haina kasoro. Kila sehemu duniani kuna kasoro mfano Nairobi-Kibera, Dar-Mwananyamala na n.k Sasa huko Rwanda Kigali
  14. and 300

    Mkutano Jumuiya ya Madola, Kigali

    Rwanda wameandaa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambao unakaribisha wakuu wa nchi na serikali wapatao 54. Tuna ya kujifunza toka kwa jirani zetu hawa. Fikiria wameuana yapata milioni 1 mwaka 1994. Wengi wakakimbia nchi Kama wakimbizi, baadhi wamerudi wanajenga nchi. Leo hii ni mwanachama...
  15. Mr Putin

    IGP Simon Sirro afanya ziara nchini Rwanda

    Kukaa week nzima Rwanda kutafta ujuzi au?
  16. Shujaa Mwendazake

    Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic Zone chenye uwezo wa kutengeneza magari aina 6 tofauti.
  17. B

    Kutembelea Makaburi ya Kigali ukiwa na miezi minne madarakani kukusaidie kutambua dhamana uliyopewa

    Kabla ya mauaji Rwanda viongozi wa kisiasa na vyombo vya dola waliminya watu Kama tunavyoshuhudia hapa nchini Sasa. Leo Mhe. Rais ametembelea Makaburi yaliyosababishwa na watu wachache walioona wao ndio waliozaliwa kutawala. Mwenyenzi Mungu anakusudi kumpa safari siku chache baada ya dola...
  18. Mzalendo_Mwandamizi

    Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

    Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti UPDATE: July 31, 2021 Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first visit state to Rwanda. During the two-day visit, she is expected to hold private talks with...
  19. Miss Zomboko

    #COVID19 Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  20. Shida na raha

    Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

    Kama mada inavyosema hapo juu kwa wale ambao wanafaham basi lenye ubora (luxury) ambalo lina sehemu ya kuchajia, full a/c.
Back
Top Bottom