kigogo

Kigogo is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 37,964.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpigamimba

    Uwezo wa kigogo kukwepa harkers? Au mwenyewe kuhack kibabe.

    Habarini. Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.? Msaada wa VPN ama ilikaaje.
  2. tawakkul

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  3. JanguKamaJangu

    Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
  4. Nyendo

    Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  5. B

    Kigogo anaposhindwa kutoa sababu ya unafuu Petrol Zanzibar

    Habari hii ina ukakasi wa kutosha: Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
  6. F

    Kigogo ccm moshi mjini matatani

    WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
  7. JanguKamaJangu

    Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

    Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter: ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri...
  8. Gladie Sephania

    SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
  9. Miss Zomboko

    Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  10. Jidu La Mabambasi

    Tetesi: Kigogo aliyeruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi ameshapigwa chini!

    Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi...
  11. Pascal Mayalla

    Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
  12. JanguKamaJangu

    Kwa maelezo haya, kigogo wa Serikalini anayeikandamiza Yanga ikose ubingwa ni nani?

    Mtangazaji wa Wasafi FM, Ricardo Momo amenukuliwa katika session yake redio akidai kuwa wale wazee wa klabu waliozungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa watashitaki kwa Rais Samia Suluhu kuhusu klabu yao kuonewa, wamefanya hivyo kwa kuwa kuna kiongozi wa Serikali ambaye yuko nyuma ya...
  13. K

    Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora. Licha ya malalamiko ya...
  14. kbmk

    Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

    Nyumba zetu zimewekwa namba hata zile ambazo mafurko haya fiki, Wamiliki kuulizwa tukupe pesa au tuku jengee nyumba? Wamiliki wana pigwa picha na kupimiwa viwanja vyao ina semekan mwisho ni mwezi wa 6 wa 2022 kuishi eneo hilo 1. Naji uliza ule mradi wa bonde la mto msimbazi ndio umekuja hadi...
  15. MK254

    Umuhimu wa Kenya kama kitovu cha TEHAMA Afrika, rais Biden amteua kigogo wa taaluma kuwa balozi Kenya

    Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake..... US President Joe Biden has...
  16. Kanye2016

    Naomba kujuzwa taratibu za TRA katika kufungua Shule Mpya

    Habarini Wakuu, Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022. Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia. kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje...
  17. mshale21

    DPP awafutia kesi Maimu, wenzake wawili mashtaka 10 ya utakatishaji fedha

    FRIDAY OCTOBER 22 2021 Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) amewafutia mashitaka 10 ya utakatishaji fedha washtakiwa watatu kati ya watano akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu. Mbali na Maimu washitakiwa wengine waliofutiwa...
  18. Kurunzi

    Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

    MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
  19. Q

    Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo wamekuwa kimya kuhusu Katiba Mpya, kulikoni?

    Tangu kuanza kwa vuguvugu la kudai katiba mpya mapema mwaka huu likiongozwa na Chadema, Zitto Kabwe na chama chake cha ACT Wazalendo wamekuwa kimya pasipo kutia neno lolote. Hivi karibuni Zitto amesikika akishauri mchakato huu lazima uongozwe na wananchi wenyewe si wanasiasa, kwa upande...
Back
Top Bottom